Mmh!Mpaka utakapopata jinsia ndo tutakukumbuka....
Waziri wa fedha si alisema kwenye hotuba ya bajeti hizi nafasi ziwe zinashindaniwa..alikuwa anadanganya, au shida iko wapi..mfumo wa kuteuana kwa namna hii ni mbovu kabisa, miaka 60 baada ya uhuru bado tunatenda mambo kama watoto, mfumo huu unalea rushwa, ufisadi, upendeleo, ulevi wa madaraka, maamuzi mabaya, kutokujali nk..tusimamie katiba mpya ije haraka, ili tukomeshe mifumo km hii..naona ulevi umekolea.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Said Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA). Bwana Suluo anachukua nafasi ya Bw. Gilliard W. Ngewe ambave amemaliza Mkataba wake.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Suluo alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Uhasibu, Shirika la Wakala wa Meli za Tanzania. (TASAC).
Uteuzi huu unaanza mara moja.
metolewa na Kurugenzi wa Mawasiliano ya Rais. Ikulu