PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
LATRA waende kuwasaidia abiria wa mbagala pale gerezani kariakoo wale abiria wanapata shida ya usafiri mwanzomwisho..pale gerezani hakuna nauli elekezi ya serikali kutoka gerezani Hadi mbagala rangi 3 TSH 8,000 na abiria waendao chamazi/mmbande ni TSH 1000.
Mara nyingi huwa napakia abiria hapo na gari yangu binafsi Kwa TSH 3000 Hadi chamazi ebu fikiria hii pesa ilivyokuwa kubwa Kwa maisha ya haya ya njaaa kali
Mara nyingi huwa napakia abiria hapo na gari yangu binafsi Kwa TSH 3000 Hadi chamazi ebu fikiria hii pesa ilivyokuwa kubwa Kwa maisha ya haya ya njaaa kali