Leo nimeona comment yko isiyoegemea kuutukana uislamuSawa sawa shehe sasa amelambishwa asali, ajikite kufanya kazi
Mimi waislam ni watani zangu na huwa najaribu kuwaamsha usingizini maana walizoeshwa kukariri na kuogopa kuhoji mambo ya imani yao.Leo nimeona comment yko isiyoegemea kuutukana uislamu
kwenye uislamu maswali yake yote yanajibika wala hakuna siri maalum.Mimi waislam ni watani zangu na huwa najaribu kuwaamsha usingizini maana walizoeshwa kukariri na kuogopa kuhoji mambo ya imani yao.
Kuna maswali yameulizwa kwenye huu uzi wala hayakujibiwa Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyogandakwenye uislamu maswali yake yote yanajibika wala hakuna siri maalum.
kama muulizaji ana nia ya kujua mimi nitamjibu kama ni kejeli sitoweza kufanya hivyo, nitag kwenye swali lililoshindikana tafadhali.Kuna maswali yameulizwa kwenye huu uzi wala hayakujibiwa Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda
Wewe ni nani mpaka upangie watu cha kuandika?Uko nje ya mada. Jikite kwenye mada
Ngoja nichekikama muulizaji ana nia ya kujua mimi nitamjibu kama ni kejeli sitoweza kufanya hivyo, nitag kwenye swali lililoshindikana tafadhali.
Kichwa kuliko nani ?.....huijui MUHAS...kwa wanaojua wanaelewa.Mnaoangalia dini kumbukeni kwamba hii taasisi nyeti inahitaji vichwa hasa bila kujali dini ili kuokoa jahazi la taifa letu. Mimi namshukuru sana Rais kwa kumteua mtu sahihi kwa mustakhabali wa taifa letu.