Rais Samia amteua Prof. Said Shehe Aboud kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

Rais Samia amteua Prof. Said Shehe Aboud kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

Mnaoangalia dini kumbukeni kwamba hii taasisi nyeti inahitaji vichwa hasa bila kujali dini ili kuokoa jahazi la taifa letu. Mimi namshukuru sana Rais kwa kumteua mtu sahihi kwa mustakhabali wa taifa letu.
Sahihi vipi, huyu Ni scientist au mtu wa arts maana naona fedha fedha alikotoka
 
Wafia dini acheni upuuzi wenu..acheni watu wapige kazi kwa manufaa ya nchi yetu na maendeleo ya wanachi kwa ujumla.

#MaendeleoHayanaChama
Nzuri
qRI8Gs7.gif
 
Back
Top Bottom