Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Yule mzee wetu wa humu anayelialia
Anasemaje sasa,uwanja waooo huu

Ova
Huko aliko jino la mwisho kalionesha leo

Si aliwahi piga nae picha[emoji2]

Anyway mimi nampongeza Zuhura sina shaka nae ajikite kwenye professional yake mambo ya chama awaachie wenyewe wana msemaji wao
 
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Ila we jamaa ni kisebengo,, [emoji851][emoji851],yaani una roho ya kutu,,
Yaani unaumia sana waislamu kupata nafasi za uongozi, tatizo lako hasa nini?
 
Huyu ni mzee sasa umri wakustaafu kwa hiyari ulishafika anaelekea umri wa kustaafu kwq lazima
 
Ni Muislamu nilihoji tu kama Jaffar katenguliwa why nafasi hiyo asipewe sasa mkiristo safi mfano ndugu yangu Pascal Mayalla nafasi hiyo ingemfaa sana.

Huuu ni umaskini wa akili nyie watu weusi acheni hizi mambo . Wenzetu nchi zilizoendelea wanaangalia potentiel ya mtu .... imani bakini nazo nyie masokwe. Imani yake haina uhusiano na utendaji. USA huko ukiwa na uwezo unapewa shavu , nyie masokwe mnaanza dini gani , itakusaidia nini dini yake . Dini zenyewe wote mmerithishwa kwa kukaririshwa vitabu ...... wala hakuna mwenye hakika na hizi dini , ni uoga wa moto tu!

So tupendane bila kujali dini , utu wetu na mapenzi baina yetu ni bora kuliko hizi Dini kwa Mwenye macho matatu.
 
Ni kweli inatakiwa tuache majungu, kikubwa tuusome mchezo vizuri ili likitokea gape tujazane kiasi cha kutosha.

Kuimba kwa kupokezana.
Hatuteuwi kwa kuangalia dini,, hata jpm alikataa kuteua watu kwa kutizama dini
Lakini jpm lazima ilikua ateue wasaidizi anaowajua vizuri kama akina makonda musiba, etc,
Huwezi kuteua mtu ambae huna hakika nae eti mfanye nae kazi ikulu,, [emoji28][emoji28]
 
si kweli lugha anaijua sana kasoma HGL Ilboru secondary kule Ilboru hawapelekwi vilaza acha uongo.walikuwa na Ayubu Lyoba enzi hizooo.kipindi hicho walikuwa wanasoma watu cream hivyo usipotoshe watu humu umlaumu kwa jingine na si lugha ya kiingereza.

Na lotion walikuwa wanasoma wap
 
Ni Muislamu nilihoji tu kama Jaffar katenguliwa why nafasi hiyo asipewe sasa mkiristo safi mfano ndugu yangu Pascal Mayalla nafasi hiyo ingemfaa sana.
Yaani umpangie Rais msaidizi wake wa karibu?, Hata Rais wa US wanaojidai wana katiba nzuri, hapangiwi nani awe msaidizi wake ikulu
 
Jaffari mbona yeye ametenguliwa wakati Rais alisema yeye afukuzi anakurekebisha tuu? Jaffari yeye mbona katenguliwa jamani? Amekosea wapi kuliko wengine?
Aisee,labda anataka ampe nafasi nyingine sehemu nyingine,au haiwezekani kisheria
Kuna nafasi kubwa zaidi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ??
Ndio
 
Sio kweli...kwa hili hapana.
Usalama ni usiri mzito Sana,
Ila kuna kipindi hakuna kificho tena.
Usikariri,ukiingia mjengoni unapewa training ya usalama na kufuatiliwa sana huku ukifanya kazi,hakuna ujinga unaweza kufanya wasijue,si ajabu jafar haniu kuna maadili ya kazi au ya kiusalama kayavunja
 
Hajui kiingereza fasaha

Huwezi kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais halafu lugha haipandi, Hatoshi tu

Ataenda kuwa RAS simiyu kunamtosha
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji2]dahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…