Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Aibu nimeona mm.
 
Hapa ndugu unakosea sana...mbona hao waislam wakati wa Magufuli akifanya teuzi walikuwa hawasemi kuwa mwaka wa wakristo huu! Usitake niamini "the lights are on,but nobody is home!
Yaliopo ndan ya nyoyo ni ashadu minal ballaa kushind yadhihirishwayo
 
Wakristo wengine sijui wanafikiria kwa kutumia kiungo gani. Yani teuzi akipewa muislam lazima ikosolewe na iangaliwe kwa picha ya dini regardless cv ya mtauliza. Mbona magu amefanya fedhuli baraza la mawaziri 23 kaweka waislam wa3 tu? Mlikuwa wapi hakumsema? Acheni unafk Taifa lina watu wa dini nyingi' atakaeteuliwa asiangaliwe dino yake iangaliwe uwezo wake. Mwisho wa siku muislam au mkristo hakuletei mkate nyumbani kwako, anapeleka Kwake,wewe baki na udini wako kama utakusaidia
 
Huyo Haniu alikua analeta press release zina typo nyingi sana.

Pia watueleze why wamchukue Zuhura sababu ametoka kumaliza mkataba juzi je hakukua na watu waliopo huko nyumbani na wenye uzoefu ?

Ushkaji uendelee...
 
Kwani mpare hawezi kuwa Mzanzibari? unapata shida sana mkuu, Wakati mwenyewe amethibitisha na kusema yeye ni Mzanzibari wewe tatizo lako ni nini?
Unajichanganya sasa. Mpare anaweza kuwa mzanzibari kama atakuwa na sifa hizo lakini yaye hana hizo sifa. Naamini hajawahi kusema "straight" yeye mzanzibari, fuatilia vizuri. Amesema anahusiana hukohuko. Mnyamwezi mwenzenu huyo msimbague
 
Hapa ndugu unakosea sana...mbona hao waislam wakati wa Magufuli akifanya teuzi walikuwa hawasemi kuwa mwaka wa wakristo huu! Usitake niamini "the lights are on,but nobody is home!
That is the truth of the matter. Udini uliokithiri ambao haujawahi kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…