Zanzibar kule si kateuliwa kichogo mwenzenu Charles Hilary sasa ndio mfano wake
Hilary ni Mzanzibari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar kule si kateuliwa kichogo mwenzenu Charles Hilary sasa ndio mfano wake
Haniu alishindwa kuichangamsha kurugenzi yake, anatakiwa kuwa pro active, kumbrand Rais na mambo anayofanya kwa Taifa,yeye alikuwa anasubiri hafla tuMwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Zanzibar hakuna majina ya Charles, ni uko uko kwenu tu.,
Halafu wewe unatumia Nokia 5.1 tafuta simu kubwa
Hajakosea bro anapelekwa kwingineMwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Zuhura sio mzanzibari bro ni mchaggaWazanzibari mwaka wenu huu mshindwe nyie tu. Hongera sana VENUS NYOTA
Watakwambia upendeleo.Alivyokuwa rais magufuli ilikuwa 50/50? si mnasema waislamu hawajasoma sasa mama anawapata wapi?
Daah! Naanza kumwonea huruma Pascal Mayalla. Mama angemkumbuka jamani pamoja na uzee wake. Uzee ni dawa. Mbona mzee mwenzake Charles kakumbukwa?Pascal Mayalla anaendelea kupiga picha daraja la Tanzanite na kupost
Alichalenji vipi na kuwa mpinzani wa serikali embu fafanua,BBC ni kutoa habari siyo mapambio.Watanzania tunakubali kweli mwingereza ambaye mda wote akiwa BBC amekuwa mpinzani wa system yetu na mtu ambaye amekuwa akizi-challenge serikali zetu na ambaye identy yake haijulikani, kuwekwa kwenye position ambayo ni very delikcate kama hii Ikulu?
Watanzania mnaelewa lakini mambo mnayotendewa mbele ya macho yenu na Rais ambaye hana hata feeling ya maisha watanzania?
Ni kitu cha kusikitisha sana kuona Rais ambaye slogan yake ni maendelezo ya kazi iliyo anzishwa na mwenzake, badala ya kuendeleza kazi hiyo ili vijana waweze kuwa na kipato chenye uhakika, yeye anawarudisha watanzania tena nyuma kwenye hali ya wasi wasi na isiyo na uhakika.
Ana malengo gani huyu mama na watanzania? Mbona naona ni racist mkubwa sana wa kijinsia?View attachment 2104029
Kuna wengine wamefilisika vichwani kama alivyosema hayati Nyerere.Hapa ndugu unakosea sana...mbona hao waislam wakati wa Magufuli akifanya teuzi walikuwa hawasemi kuwa mwaka wa wakristo huu! Usitake niamini "the lights are on,but nobody is home!
Mtu akitaka kupata 'likes' nyingi anamponda Brother Pascal.Pascal Mayalla alishakataa hizo kazi
Pascal ni very senior kwa Msigwa na Jafari lakini alishajiondoa kwenye system anafanya yake
Timu ya akina ngusa ilikuwaje?Timu yake yote ya Ikulu waisalm,
Big NOO. Usangi safi. Hata ukimuangalia unauona uso wa kipareNi mzanzibari mkuu