@ModeratorNimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Usitulaumu sisi....kilaumu chama chake (Ccm).Watanzania mnafanya utani na nchi yenu au maisha yenu sio? Mnafikiri huyu mama anauchungu na nyie kweli?
Huyu ndiye walewale waccm wasioisha kusema kuwa Chadema inafanya siasa za matusi na maandamano! Haohao hawaishi kusema Chadema ilikufa.Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
That man hana kitu chochote cha kusimamia uzi wake, ni watu wa majungu na roho zao mbaya.Baadhi yenu hamjui hata taratibu za chumba cha habari..mnaishia kutukana Watayarishaji/ Watangazaji...acheni mihemko..we unamjua Mhariri wake? Una ushahidi wowote? Unadhani maswali anatoa yeye kichwani tu ama kuna fanyika vikao vya briefing kabla kipindi/ show haijaenda hewani? Acheni uswahili bhana, Kwako matusi ni nini? 'Alipotukana' kama unavyotaka kutuaminisha ulichukua hatua gani? Unajua kanuni za utangazaji za Tanzania? Kwanini huioni V.O.A Swahili sikuhizi? Una nufaika nini unapomsagia mtu 'kunguni' kwa hisia zako ambazo hazina uthibitisho? Ok, Alitukana, kwahiyo unataka kutuambia nini? Mantiki ya 'uzi huu' wa kipuuzi ni kama unataka kulipa kisasi juu ya teuzi yake? Retaliation sio? ..mna boa! Mods Pigeni spana hawa wazushi, wanashusha credibility..
Stupidity at its highest order!
Atoe wapi.Ushahidi wa hayo matusi aliyotukana!
Zilikuwa ni za uongo?Ila mimi sijahi kumsikia live akifanya hayo ila bbc haswa kipindi cha Mwendazake mara nyingi walikuwa wakiripoti habari hasi kuhusu Tz
HapanaZilikuwa ni za uongo?
HapanaHayo ndiyo yanaitwa matusi?
Na sijui watatumia pori gani maana mapori yote sisi tuna kazi nayo kwa ajili ya kilimo, uwindaji na utalii, makazi (wahadzabe), uchimbaji madini, ufugaji na uhifadhi (conservation).Hiyo ya watu kuingia msituni ndio habari . Hebu anza na hiyoπ
Baba yake kabila lake Mpare na mama yake Mngazija!!M zenji yule
Teh teh teh ππ nyie raia bhana haa haaaa ππTangu lini Hillary Ni mbara/chogo?
Mpare wa ugweno amechanganya na utanga kwa mbali yakhe!,Jokes!Duh, yetu macho na masikio, mdomo kaa kimya usinene chochote, Zuhura kwao wapi vile?
Nyie ndugu wa marehemu miyeyusho sana. Hebu tulieni kidogo.Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Wino umekoa kwelikweli.Baadhi yenu hamjui hata taratibu za chumba cha habari..mnaishia kutukana Watayarishaji/ Watangazaji...acheni mihemko..we unamjua Mhariri wake? Una ushahidi wowote? Unadhani maswali anatoa yeye kichwani tu ama kuna fanyika vikao vya briefing kabla kipindi/ show haijaenda hewani? Acheni uswahili bhana, Kwako matusi ni nini? 'Alipotukana' kama unavyotaka kutuaminisha ulichukua hatua gani? Unajua kanuni za utangazaji za Tanzania? Kwanini huioni V.O.A Swahili sikuhizi? Una nufaika nini unapomsagia mtu 'kunguni' kwa hisia zako ambazo hazina uthibitisho? Ok, Alitukana, kwahiyo unataka kutuambia nini? Mantiki ya 'uzi huu' wa kipuuzi ni kama unataka kulipa kisasi juu ya teuzi yake? Retaliation sio? ..mna boa! Mods Pigeni spana hawa wazushi, wanashusha credibility..
Stupidity at its highest order!
Alitukanaje?halafu nani kakumbia zuhura ni mzanzibar?Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
sio kazi rahisiAnataka kuwa Jonas Savimbi
Tatizo ni PASIKALI [emoji1787][emoji1787]Soon nae atapewa post,ni swala la muda tu avumilie!!