Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Hili gazeti ni la nani 🤣🤣🤣

Mambo ndivyo yalivyo kwani mmesahau? Watu hubadilikabadilika na ndio demokrasia 😆😆😆😆✌️

2004 ilikua hivi
CQzdnuqWEAAKB9s.jpg

2015 ikawa hivi
images.jpeg
 
Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
@Moderator
 
Duh, yetu macho na masikio, mdomo kaa kimya usinene chochote, Zuhura kwao wapi vile?
 
Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Huyu ndiye walewale waccm wasioisha kusema kuwa Chadema inafanya siasa za matusi na maandamano! Haohao hawaishi kusema Chadema ilikufa.
 
Baadhi yenu hamjui hata taratibu za chumba cha habari..mnaishia kutukana Watayarishaji/ Watangazaji...acheni mihemko..we unamjua Mhariri wake? Una ushahidi wowote? Unadhani maswali anatoa yeye kichwani tu ama kuna fanyika vikao vya briefing kabla kipindi/ show haijaenda hewani? Acheni uswahili bhana, Kwako matusi ni nini? 'Alipotukana' kama unavyotaka kutuaminisha ulichukua hatua gani? Unajua kanuni za utangazaji za Tanzania? Kwanini huioni V.O.A Swahili sikuhizi? Una nufaika nini unapomsagia mtu 'kunguni' kwa hisia zako ambazo hazina uthibitisho? Ok, Alitukana, kwahiyo unataka kutuambia nini? Mantiki ya 'uzi huu' wa kipuuzi ni kama unataka kulipa kisasi juu ya teuzi yake? Retaliation sio? ..mna boa! Mods Pigeni spana hawa wazushi, wanashusha credibility..

Stupidity at its highest order!
That man hana kitu chochote cha kusimamia uzi wake, ni watu wa majungu na roho zao mbaya.

If she qualified for the post acheni apewe.
 
mchawi mpe mwanao amleleeee .... kanyaga twendeee
 
Hiyo ya watu kuingia msituni ndio habari . Hebu anza na hiyo😁
Na sijui watatumia pori gani maana mapori yote sisi tuna kazi nayo kwa ajili ya kilimo, uwindaji na utalii, makazi (wahadzabe), uchimbaji madini, ufugaji na uhifadhi (conservation).
 
Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Nyie ndugu wa marehemu miyeyusho sana. Hebu tulieni kidogo.
Mlikua mnapenda kusifiwa tu, mtu akihoji kitu mnahisi mmetukanwa.
 
Baadhi yenu hamjui hata taratibu za chumba cha habari..mnaishia kutukana Watayarishaji/ Watangazaji...acheni mihemko..we unamjua Mhariri wake? Una ushahidi wowote? Unadhani maswali anatoa yeye kichwani tu ama kuna fanyika vikao vya briefing kabla kipindi/ show haijaenda hewani? Acheni uswahili bhana, Kwako matusi ni nini? 'Alipotukana' kama unavyotaka kutuaminisha ulichukua hatua gani? Unajua kanuni za utangazaji za Tanzania? Kwanini huioni V.O.A Swahili sikuhizi? Una nufaika nini unapomsagia mtu 'kunguni' kwa hisia zako ambazo hazina uthibitisho? Ok, Alitukana, kwahiyo unataka kutuambia nini? Mantiki ya 'uzi huu' wa kipuuzi ni kama unataka kulipa kisasi juu ya teuzi yake? Retaliation sio? ..mna boa! Mods Pigeni spana hawa wazushi, wanashusha credibility..

Stupidity at its highest order!
Wino umekoa kwelikweli.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Alitukanaje?halafu nani kakumbia zuhura ni mzanzibar?

Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom