japo karoho kanauma πDuh! Usipime!
Kazi imepata mtu stahiki.
Hongera Zuhura Yunus!
P
Haya sio Maneno ya kuongelewa na mstaarabuMwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
WamekaririSio Mzanzibar....ni M-bara wa Kaskazini
Daah unapiga ikulu mzee twende taratibuHapo roho inakuuma sana. Ndio uelewe sasa kusifia Sana sio kupata teuzi, zuhura hakua mtu wa kusifia na kuabudu lakini kateuliwa.
Miaka hii ya waislamu na wazanzibariMwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
The so called Vetting Walikuwa wapi?Hajui kiingereza fasaha
Huwezi kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais halafu lugha haipandi, Hatoshi tu
Ataenda kuwa RAS simiyu kunamtosha
Mdomo uliponza kichwa, alikuwa anamsigina sana Hayati. Ila kwa huyu aliyopo sasa sijaona akimsema vibaya hivyo bado ana nafasi ya kuteuliwa.Na wakati yuko anko Magu kikwazo kilikuwa nini?
Waunguja siku hizi ni wabara eeeh?Sio Mzanzibar....ni M-bara wa Kaskazini
Kwani Haniu alikuwa anasali kanisa gani mkuu???Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Let us wait and see if he will be free to "write"..... ushungi mwenzake.... mambo yameiva sasa. Bado msikiti kujengwa Ikulu!
Hujaelewa nilichomaanisha kwenye hiyo post hapo juu mkuu, kama Jaffar kafutwa kazi kwanini nafasi hiyo isijazwe na mkiristo.Kwani Haniu alikuwa anasali kanisa gani mkuu???
Hakika!Vitabu vitakatifu hajiwahi kumpa mwanamke kipaumbele katika kuongoza.Mungu hakumuumba awe kichwa...Huo ndio ukweli na nikwasababu za kiroho zaidi..ndio maana hata nchi za kiislam Ni marufuku...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ameshavaa shati la kijani! Huwezi kuwa ikulu usivae shati la kijaniHongera sasa atumie uleule weledi alokua nao BBC akilegea aka akavaa shati la kijani atapoteza heshima yake .
In short, wewe unajua kuwa dunia imeshikiliwa na hao uliowaita "wepesi"Mtakufa midomo wazi kwa ajili ya chuki na kushindwa kuvumilia.Kumbe WAKIRISITO ni wepesi kiasi hiki.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mtakufa midomo wazi kwa ajili ya chuki na kushindwa kuvumilia.Kumbe WAKIRISITO ni wepesi kiasi hiki.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Pascal mayala ni kama benard morisson tu..Na hii umeikosa Bwana Pascal
Wonders shall never end
Siamini Kinachotokea hapa uwanjani, Pascal Mayalla anawekwa benchi tena
Kazi sio za kuteuliwa tuu wala hizo nafasi hazitoshi hata nusu ya theluthi ya watanzania
Wakati hawa wachache wanateuliwa sisi wengi tufanye vitu vingine vikubwa zaidi kwa maslahi yetu, taifa na vizazi vyetu