Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
Chawa wa Saa 100 wanajaribu kuficha upendeleo wake kwa wazanzibariZuhura ni mzenji pure kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wa Saa 100 wanajaribu kuficha upendeleo wake kwa wazanzibariZuhura ni mzenji pure kabisa.
The lights are on but nobody is home. Comments za aina hii ndio zinaipunguzia JF hadhi yake.Ni Muislamu nilihoji tu kama Jaffar katenguliwa why nafasi hiyo asipewe sasa mkiristo safi mfano ndugu yangu Pascal Mayalla nafasi hiyo ingemfaa sana.
Kwani zuhura anaenda kuwa imamu?Nimehoji tu kama katenguliwa muislamu why asipewe mkristo hiyo nafasi? Anarudishwa muislamu haya mambo huwa kuna ku alternate akifeli muislamu anawekwa mkiristo.
mkuu wangu, hata angekuwa muislam.shida ipo wapi?Zuhura Yunus sio Mwislam,…mnaokariri Dini za watu kwa kuangalia Majina mmeshaingia Mkenge
Yani we jamaa ni mjinga kupindukia. Sijawahi ona aisee!Nimehoji tu kama katenguliwa muislamu why asipewe mkristo hiyo nafasi? Anarudishwa muislamu haya mambo huwa kuna ku alternate akifeli muislamu anawekwa mkiristo.
Jina tu halisemi dini ya mtu..Jafari ni jina lenye asili ya uarabuni sio lazima awe Muislam...huku Pwani kuna watu wengi tu wanamajina yenye asili ya kiarabu na kupewa tafsiri ya majina ya waislam lakini wenye majina hayo ni wakristo..kumbuka aliyekuwa jaji mkuu wa Tanzania Augustino Ramadhani..huyu alikuwa hadi anapiga kinanda kanisaniJafari ni jina la kikristu au kiislam?
In short, wewe unajua kuwa dunia imeshikiliwa na hao uliowaita "wepesi"
Zuhura mpare mzee, unajishushia heshima yako nduguWaunguja siku hizi ni wabara eeeh?
Zuhura ni MPARE kenge wewe
Ndio utajua tatizo linatoka wapi.Mbona kila awamu Rais asipokuwa mkristo lazima kelele za Udini zisikike?Udini lazima utaligawa Sana taifa Hadi awamu hii inamalizika .Kuna wakati tulisahau saiv naona mijadala ya udini inaibuka kwa Kasi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kumbe wakristo na nyie mnalalamika hiviHujaelewa nilichomaanisha kwenye hiyo post hapo juu mkuu, kama Jaffar kafutwa kazi kwanini nafasi hiyo isijazwe na mkiristo.
Maana 95% ya watendaji pale ikulu wote ni waislamu kwanini isiwe 50% kwa 50%
Sio Mzanzibar....ni M-bara wa Kaskazini
Huo ndio ukweli,hata magufuli aliwabeba wagalatia,huyu nae anawabeba maushungi wenzie,hata mi ningefanya hivyoHapa ndugu unakosea sana...mbona hao waislam wakati wa Magufuli akifanya teuzi walikuwa hawasemi kuwa mwaka wa wakristo huu! Usitake niamini "the lights are on,but nobody is home!
Alivyokuwa rais magufuli ilikuwa 50/50? si mnasema waislamu hawajasoma sasa mama anawapata wapi?Hujaelewa nilichomaanisha kwenye hiyo post hapo juu mkuu, kama Jaffar kafutwa kazi kwanini nafasi hiyo isijazwe na mkiristo.
Maana 95% ya watendaji pale ikulu wote ni waislamu kwanini isiwe 50% kwa 50%
Saa 100 anaupiga mwingi udiniudini mwingi
Haniu kapoa sana ameshindwa kuchangamka kwenye shughuli za ikuluMwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Inaelekea bingwa wa takwimu za Ikulu. Tuletee na takwimu za awamu ya Hayati Magufuli na malalamiko yako au pongezi.The lights are on but nobody is home.Hujaelewa nilichomaanisha kwenye hiyo post hapo juu mkuu, kama Jaffar kafutwa kazi kwanini nafasi hiyo isijazwe na mkiristo.
Maana 95% ya watendaji pale ikulu wote ni waislamu kwanini isiwe 50% kwa 50%