Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Nimehoji tu kama katenguliwa muislamu why asipewe mkristo hiyo nafasi? Anarudishwa muislamu haya mambo huwa kuna ku alternate akifeli muislamu anawekwa mkiristo.
Kwani zuhura anaenda kuwa imamu?

Shida ipo wapi, achaguliwe muislam muislam hata mara 100, shida ipo wapi? Au mkristo mkristo mara 100 shida ipo wapi? Kwako wewe binafsi angechaguliwa mkristo ungefaidikaje?

Zuhura ni mzuri sana kwa sura, shape, sauti na umakini nk, pili anajijua kazi yake vyema means anakwalifai vigezo. Katika teuzi za mama, hapa niseme tu, mama kaupiga mwingi kama ilivyo kwa Mwinyi juu Charles Hilary

Dini ni imani ya huyo mtu, hongera sanqa Zuhura
 
Jafari ni jina la kikristu au kiislam?
Jina tu halisemi dini ya mtu..Jafari ni jina lenye asili ya uarabuni sio lazima awe Muislam...huku Pwani kuna watu wengi tu wanamajina yenye asili ya kiarabu na kupewa tafsiri ya majina ya waislam lakini wenye majina hayo ni wakristo..kumbuka aliyekuwa jaji mkuu wa Tanzania Augustino Ramadhani..huyu alikuwa hadi anapiga kinanda kanisani
 
Kumbe kule kutoka bbc tukajua anakuja azam kumbe anakuja ikulu, pongezi kwake na tumtakie kazi mpya njema.
 
Hujaelewa nilichomaanisha kwenye hiyo post hapo juu mkuu, kama Jaffar kafutwa kazi kwanini nafasi hiyo isijazwe na mkiristo.

Maana 95% ya watendaji pale ikulu wote ni waislamu kwanini isiwe 50% kwa 50%
Kumbe wakristo na nyie mnalalamika hivi
 
Sasa ngoja niandae washenga na mahali /brideworth niende Dodoma Chamwino nikalipie maana kwenda Uingereza ilikuwa Sina uwezo Bongo hii nafika kwa nauli ya ten tu toka Moro to Dom, karibuni wote
 
Hapa ndugu unakosea sana...mbona hao waislam wakati wa Magufuli akifanya teuzi walikuwa hawasemi kuwa mwaka wa wakristo huu! Usitake niamini "the lights are on,but nobody is home!
Huo ndio ukweli,hata magufuli aliwabeba wagalatia,huyu nae anawabeba maushungi wenzie,hata mi ningefanya hivyo
 
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Haniu kapoa sana ameshindwa kuchangamka kwenye shughuli za ikulu
 
Hujaelewa nilichomaanisha kwenye hiyo post hapo juu mkuu, kama Jaffar kafutwa kazi kwanini nafasi hiyo isijazwe na mkiristo.

Maana 95% ya watendaji pale ikulu wote ni waislamu kwanini isiwe 50% kwa 50%
Inaelekea bingwa wa takwimu za Ikulu. Tuletee na takwimu za awamu ya Hayati Magufuli na malalamiko yako au pongezi.The lights are on but nobody is home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…