Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Watu wanalalamikia vitu ambavyo hawawezi kubadili wala kuvipata

Wakati walipokua wanalalamika oooh wachaga hawapewi nafasi wametengwa, wachaga wenyewe walikua busy kuongeza nafasi ya kutanua wigo wao kwenye kazi zao binafsi

Mama D wewe ni mimi kabisa, sijawahi ona shida watu wa dini au kabila kujazwa kwenye teuzi .Labda kwa kuwa Mimi ni muislamu ninayeamini njia za kuishi vizuri ni nyingi mno duniani na teuzi hazikamilishi furaha ya mwanadamu.
 
Hakuna ukweli wowote hapa, kinachofanya kazi sio ushungi wake ni utendaji wake..alikuwa BBC watazamaji na wasikilizaji wa BBC wameona utendaji wake, Rais kalidhishwa nao na kamteuwa..wakati wa Magufuli wateule wake kilichokuwa kinafanya kazi sio dini yao ni ujuzi wao....tukiendelea kutizama haya mambo kwa jicho hili la udini basi hawa watendaji hawatapimwa kwa ujuzi wao bali dini zao...akikosea akatenguliwa mtasema ametenguliwa kwa sababu sio Muislam! ifike mahali tufikiri kwa vichwa vyetu
Huo ndio ukweli,hata magufuli aliwabeba wagalatia,huyu nae anawabeba maushungi wenzie,hata mi ningefanya hivy
 
Muislamu + mzanzibar=✓✓✓✓✓
 
Ni Muislamu nilihoji tu kama Jaffar katenguliwa why nafasi hiyo asipewe sasa mkiristo safi mfano ndugu yangu Pascal Mayalla nafasi hiyo ingemfaa sana.
Saa 100 amtengue mwislamu halafu aweke mkristo thubutuu

Yeye akitengeu mwislamu anarudishia mwislamu

Ila akitengua mkristo (wakristo) anajazia waislamu
 
Hujaelewa nilichomaanisha kwenye hiyo post hapo juu mkuu, kama Jaffar kafutwa kazi kwanini nafasi hiyo isijazwe na mkiristo.

Maana 95% ya watendaji pale ikulu wote ni waislamu kwanini isiwe 50% kwa 50%
Alivyokuwa rais magufuli ilikuwa 50/50? si mnasema waislamu hawajasoma sasa mama anawapata wapi?
Zuhura Yunus ni Mzanzibar halisi kabisa, baba yake alikuwa mwanajeshi kutokea unguja.

Kwa wanaosema Zuhura ni mbara, wakatafute interview yake na Salama kwanzia dk ya 25 utamsikia mwenyewe akizungumzia kwao Unguja
Acha ujinga basi mkuu, zuhura mama yake ni mzanzibari na baba yake ni mpare sasa hapo yeye atakuwa kabila gani?
 
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Muwe na uvumilivu japo kidogo ndugu zetu,kwanini mnawafanya waislamu ni kama raia daraja la pili na hivyo hawastahili kupata nafasi yoyote ya juu katika utumishi wa umma au hata wa kisiasa katika nchi hii?
Hadi hivi sasa ni waislamu wachache sana ambao ni viongozi kwenye taasisi za umma na hata kwenye uongozi wa kisiasa lakini bado mkisikia jina mnalohisi ni la kiislamu likitajwa kwenye uteuzi mioyo yenu inawauma sana.
 
Hongera kwake; Salim Kikeke aliipania sana hiyo nafasi kaachwa kaachwa!
 
Wanaachishwa kazi BBC halafu wanakuja kunyanyaswa huku. Rejea Tido Mhando. Alichomolewa huko na Kikwe. Akawaambia anataka iwe idhaa huru. Matokeo yake alivyokataa kusitisha mahojiano live baada ya wale wa ccm kuingia mitini. Akaendelea kuwahoji wa upinzani. Likawa kosa. Akatimuliwa kama hawamfahamu.
 
We kubali udini upo na ukanda upo,awamu ya tano tuliyaona hayo,hii awamu ya sita dalili pia zinaonyesha the same
 
Sasa tuna subiri Cdf na IGP. Mama sasa kaamua kuwakera
Sasa rasmi. Tanganyika iko kwenye kutawaliwa na Wazenji
 
Ushungi oyee! Hadi 2025 huko juu ushungi tuu kama taleban.
 
Huu dada masikini Mungu ataanza kutukanwa na Bavicha na usiku wa leo kijiwe cha Spesiii kina Lema na dada zake povu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…