Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Pole yake polepoleMatumizi mabaya ya pesa, umalaya, viongozi wengi wa zamani ni wajinga sana hawajui kesho.
Mfano yule balozi aliyewai kuwa waziri alafu balozi kipindi cha jk, lakini amefulia kiasi kwamba kimada wake kamfukuza anasema jamaa ni tapeli.
Ila wako wachache walio fanikiwa wana hisa ,makampuni,
We huoni Laurence Masha kafulia mpaka kaenda kutapeliwa kwa kiboko ya wachawi, ni kila MTU na utashi wake wa kutumia fursa vizuri aliyoipata kwa muda sahihi
Mpeni Pole,polepoleAnatafuta faraja kwa kujitekenya
Ana maumivu sana huyu mama,
Sijawahi kushuhudia Mkulu reject kama huyu Mama,hadi kuna muda namuonea huruma.
🤣🤣Ametengua uteuzi wa mtu aliye jiuzulu?? Pathetic.
Mpeni.pole,pole pole,amekwishaAkili zingine bwana!!
Lengo ionekane yeye ndiye alitangulia kutengua hiyo July 16!!
Ilhali hivi majuzi waziri wa mambo ya nje alidai kuna mambo ya kisheria wanafuatilia kabla ya kuchukua hatua.
Mpeni pole polepole,amekwisha,aje mtaani,auze Machu gwaKuna mtu kichwani amebeba kinyesi,Umampaje taraka asie mkeo.
Mpeni.pole,polepole,kwisneyHii inampa mileage zaidi polepole. Chama kilitakiwa kijibu hoja zake. Huo ndio ukomavu.
Mtego umenasa?Mpeni.pole,polepole,kwisney
Mimi kama nani?Mpeni pole polepole,amekwisha,aje mtaani,auze Machu gwa
Mpeni.pole,polepole,kwishneyHana tofauti na chura kiziwi, asingeleta impact yoyote ofisini huyo
Kwisney polepole,aje mtaani kuuza machungwaMtego umenasa?
Mpeni.pole polepole,kwishney✊🏿✊🏿✊🏿
Mpeni polepole pole,aje mtaani kuuza maxhungwaSamia anahangaika kama kuku anayetaka kutaga vile.
Mpeni polepole pole,aje mtaani kuuza maxhungwa
Kwa manufa a ya mhuni slowslowKwa manufaa ya umma au manufaa ya wahuni
Mpe Pole polepole kwishneySa100 kamuachisha kazi H.Polepole kwa manufaa ya CCM siyo UMMA.
UMMA unawahitaji watu wengi wa aina ya H.polepole