GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
It is good for nothing nafkiri kila kitu kipo uwanjan
 
KAZI na utu tunasongambele!!

Mama anaupiga mwingi Hadi umefurika!! October tuna tick kama wakiamua TU tick wenye maamuzi!!
Fuata maelekezo wewe!!
 
Yote umejitungia. Hamna balozi anaesamehewa kodi nje ya kituo chake cha kazi nje ya nchi. Akiwa nchini, anakuwa hana tofauti na Fundi Mchundo.

Amandla...
 
Kupitia Uzi huu tunazidi kuelewa ni vipi chadema wapo confused na wamepigika sana.......wanatamani wacheke lakini haichekeki, wanatamani walie lakini haililiki basi wapo wapo wanaendeleza uchezaji wao wa Ngoma wasiyoijua.
 
Kupitia Uzi huu tunazidi kuelewa ni vipi chadema wapo confused na wamepigika sana.......wanatamani wacheke lakini haichekeki, wanatamani walie lakini haililiki basi wapo wapo wanaendeleza uchezaji wao wa Ngoma wasiyoijua.
Unajielewa kweli wewe!?
 
Faida ni nyingi SANA za ubalozi ikwemo. Kulindwa, connection ya mataifa MENGNE, KUTO kutozwa Kodi kwa bidha Fulani zinazo enda KWAKE. HAPO fursa ya michongo kiulaini pia huwa wanaishi kifahari SANA.



Kwishaaa
Kama huenjoy kwa sababu wewe sio balozi, bora ukajinyonge tu, wewe ni hasara kwa taifa!
 
Hongera Mheshimiwa Raisi, Japo umemchelewesha sana.
 
Sema amemkubalia ombi lake la kujiudhulu, lugha muafaka
 
Too late! Mtu alishajitoa kitambo kwenye utawala wako! Hata ukimuondolea hiyo hadhi ya ubalozi, haibadilishi chochote. Kama ni hatua, ilitakiwa ichukuliwe mapema kabla mhusika hajafikia hajaanza kutoa shutuma zake dhidi ya chama na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…