Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Ndio hapo tunaona umuhimu wa Katiba mpya. Kwa katiba tuliyonayo Ndugai hana ubavu anyamaze tuu asubiri astaafu ale kiinua mgongo chake. Rais wa Tanzania ni mungu mtu.
Watu wengi hawapendi kujisomea ndio tatizo kubwa la nchi yetu eti mtu anakuja na thread kama hii seriously?hao wabunge wakose Milioni zao kisa Spika?
 
Sasa homa ikizidi ya kurudi India biioni 2 zitatoka kweli.
Ila SSH katoa kali ya mwaka leo.
 
Alipata kuyasema haya Nelson Mandela miaka mitano iliyopita na nanukuu "For anybody who changes his principles, depending on whom he is dealing, that is not a man who can lead a Nation". I concur with you that the guy is a coward.
 
Kuliko kufanya kazi na mtu asiye maono, ni bora ubwage manyanga tu.Huyo hangaya amalizie muda wake atoke.
 
Saa hizi Ndugai atakuwa amejifungia chumbani akiugulia moyoni!
Hata akipasuka hakuna wa kumtetea labda sukuma gang wenzake maana wamemfanya chambo.
 
Watu wengi hawapendi kujisomea ndio tatizo kubwa la nchi yetu eti mtu anakuja na thread kama hii seriously?hao wabunge wakose Milioni zao kisa Spika?
Shida ni Katiba, inatoa haki na mamlaka kwa muhimili kwa upande mmoja kisha ina nyang'anya kwa upande mwengine. It is alreay out of hand kwa Ndugai hasa baada ya hotuba ya leo ya mama. Hana mamna zaidi ya kunyamaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…