Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Pamoja na matatizo ya ndugai lakini je ni kweli huu mikopo ina afya kwa taifa kweli?
 
Mwambie Mama yako Samia kuwa hili suala lilishaisha na amechochoea na kuliamsha

Kama mtu ameomba radhi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ukosefu, basi jibu huwa ni moja tu kwa watu wenye maturity

You either not speak of it anymore au unasema tu ,Ndungai , Apology accepted !

Hiyo ndio maturity ya Akili kubwa; sio mambo ya kuchambana kama tupo kwenye Singeli la zuchu
Ndugai muhuni. Hakukiri kosa na kusema eti watu walimdukua. Sasa mama kaushtukia huo uhuni akaamua ampe za uso.
 
Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Hajiuzulu trust me
IMG-20220104-WA0388.jpg
 
Najua kauli ya Rais ni amri hebu tusubiri tuone how long atakuwa kwenye hicho kiti

Rais akipita mahali akasema hayo majani yamekuwa sana
Maana yake majani yafyekwe
 
Ndugai kama Spika, ka mtu binafsi, ka mbunge na kama kiongpzi ndani ya CCM, uovu wake, kama walivyo wenzake, ni mwingi, na umewaathiri sana Watanzania negatively.

Hata hivyo, hakuna mwanadamu mwenye kiapo na uovu. Kama Ndugai ameamua kujutia uovu wake na kutaka kuweka alama itakayokumbukwa katika nchi hii, asaidie kupatikana kwa misingi na mifumo bora ya kiutawala. Na hilo, hakikisho lake lipo kwenye katiba.

Kwa kuanzia, Bunge likatae unafiki wa Serikali, unaowekwa kwenye mswada wa mabadiliko ya katiba. Mswada huo ni upuuzi na kiinimacho. Bunge liukatae, na kuitaka Serikali kupeleka mswada wenye dhamira njema.

Uundwaji wa Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuwatumia wateule wa Rais kupendekeza majina ya wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kwa Rais, ni ujinga, upuuzi na kukosa hekima na uadilifu kwa waliouandaa huo mswada. Bunge liukatae, kwa sababu ni mswada wa kijinga kabisa.
Hawezi sasa, wameshamuwahi

Na kwa afya yake ile mbovu usisikie presha ilishuka akavuta

Kwa ufupi Ndugai is a looser in this fraca through and through
 
Ndugai aliamua kujivua nguo mwenyewe kwa kuomba msamaha, wamemvalisha wameamua wamvue wenyewe
 
Mwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.


Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.


Kwahiyo mnataka nini??


Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.

Mtu ameshaomba radhi.

Yeye bado kashikilia bango.

Poor thinking capacity.
Jmn si mlisema hoja inajibiwa na hoja
Mama kajibu hamtaki ama?
 
Huyu mama anapaswa kuelewa nafasi aliyonayo ni nyeti namba moja kitaifa.
Unapoendeleza malumbano ya kike kwa mtu ambaye tayari amejishusha na kuomba msamaha.
Rais wa nchi unapaswa kuonyesha ukomavu wa kisiasa ikiwemo pia kuwavumilia na kuwasamehe wale msioendana kimtizamo.
Mimi binafsi namuona mama kama vile ndie kaingia mtego wa Ndugai.
Vinginevyo siasa ndani ya CCM zitamsumsumbua zaidi, kwani atabaki na kundi la wanafiki kama huyo Mwigulu & wanafiki classics
Kuna limama limoja pale lilikuwa limevaa nguo ya damu ya mzee wakat anahutubia, yule mama sijui ni nan! Yan ana kimuhe muhe...anasimama anashangilia, anaruka ruka.
Wale ndo wanafiki ogiii wale
 
Badala ya kufanya kazi ashinde imani ya watanzania kuonyesha hiyo kazi anaiweza yeye anawaza kuendelea na uraisi post 2025 na mikwara kwa wanaofikiria kum challenge.

Toka aanze kazi speech aliyotoa akaonekana kama commander in chief ni moja tu ile December 27, tone aliyotumia ilikuwa na authority na message was clear.

Leo karudi kwenye mipasho na anaongea na tone utadhani yupo kwenye sherehe sijui ya taasisi gani; not a person addressing the nation.

Watanzania ndio tutaamua kama anatufaa 2025 sio kutulazimisha lazima aendelee.
 
Mwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.


Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.


Kwahiyo mnataka nini??


Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.

Mtu ameshaomba radhi.

Yeye bado kashikilia bango.

Poor thinking capacity.

Mama hana muda na msamaha wa kinafiki. Huyo Ndugai alitumiwa sana na Magufuli kudhalilisha watu wasiomsujudia, na kupitisha sheria nyingi kandamizi, sasa ngoja aonyeshwe kuwa cheo ni dhamana na sio sehemu ya kudhalilishia wengine.
 
Kimsingi Job ana hoja sema kwakuwa amekuwa anafanya dhulma huko nyuma ndo maana haungwi mkono.Kingine Job kama kiongozi wa muhimili angejisamia rais angenyooka,yeye alijitia kwapani Mwa rais halafu akatusaliti.Chief Hangaya atoe majibu.
 
Sasa labda na hio return on investment its about time to rethink our strategy...., Huyu Mama Kuendelea kushikia Bango hii issue inamfanya kuonekana petty..... Ingawa sio mbaya kujibu hoja (ila hoja hujibiwa kwa hoja na sio vioja)
Haishangazi kabisa hiyo, ni kawaida ya wanawake wanapenda sana ligi ya maneno
 
Mtu mzima ambae hapaswi kuaminiwa ni Rais wa nchi ambae hataki mihimili mingine kuwa huru na ifanye kazi yake.Shame!
 
Mwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.


Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.


Kwahiyo mnataka nini??


Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.

Mtu ameshaomba radhi.

Yeye bado kashikilia bango.

Poor thinking capacity.
Mama ana shida! Ndio Ndugai ni tatizo kubwa sana lakini mama anazidi kufanya tujue zile harufu za chakula pengine pua zetu zimetuingiza chaka.
 
Back
Top Bottom