Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Nafikiri kwa watu wenye uelewa na fikra huru tulikwazika na kitendo cha spika wa bunge kujikomba kwa kauli yake ambayo kimsingi ilikuwa very clear. Ndugai amesahau kuwa Magufuli alikuwa tofauti na watu wengi, alikuwa mtu mwenye ukatili mwingi lakini alikuwa mwepesi wa kusamehe na alikuwa hawezi kuwataja kwa majina wala kuwapoint wabaya wake ila aliwakatiri within. Sasa mama kwanza hana siri, hana kifua cha kuvumilia lakini pia anatumia gender kujustify madhaifu yake. Kuomba msamaha kumemharibia Ndugai.
 
hivi hotuba nzima umeifatilia? mbn hayo yamejibiwa au unaropoka ?
 
Atampanikisha nani wakati yeye mwenyewe yuko madarakani kwa wizi wa kura? Kama angekuwa anajiamini na huo ujumbe wake asingeomba msamaha wa kufala vile.

Unadhani ukitaja neno gaidi ndio utapunguza makali ya andunje kupewa vitasa vyake?
Hangaya kapanic sababu ujumbe wa Ndugai uko very clear!


Unadhani Andunje kupewa vidonge kutamtoa gaidi ndani?
 
Wale wajumbe walisimama na kuimba wimbo TUNA IMANI NA SAMIA ina maana hawana imani na Ndugai sasa Ndugai atafanyaje. Halafu alishamuonya naona atamkimbuka
Katika hali ya kawaida Ndugai atapigiwa kura ya kutokuwa na imani naye kwa kuwa mpaka leo anamuota Magufuli kama Rais!
 
Hahaaaa!!!!anduje amepigwa bonge la kwenzi ktk kipara chake
Atampanikisha nani wakati yeye mwenyewe yuko madarakani kwa wizi wa kura? Kama angekuwa anajiamini na huo ujumbe wake asingeomba msamaha wa kufala vile.

Unadhani ukitaja neno gaidi ndio utapunguza makali ya andunje kupewa vitasa vyake?
 
Mbona unaongea kama hujui siasa za ccm?
Hata kama samia ameshindwa kuongoza nchi, kumbuka kauli ya wana-ccm ni urais kuachiana miaka 10
Sasa wewe kapige kura huko upinzani ila wakina kingai wataipeleka kura yako kwenye box la ccm
Uraisi wa namna iyo ni sawa na kwenda kupora mazao ya wananchi maskini halafu upike na kula mbele yao kisa ubabe; watakwambia hewala sio utumwa lakini mapenzi na wewe hakuna.

Raha ufike wananchi wenyewe wanajitolea walichonacho ule ushibe ndio furaha yao; wewe mwenyewe unakuwa na amani ya moyo wakati unatia tonge kinywani.

Uongozi sio kuwafurahisha wale wenye uwezo wa kukulinda kwa sababu ya maslahi yao, bali kupendwa na watu unaowaongoza kwa kile unachowafanyia.

We uoni wabunge siku wakienda kwenye ziara zao wakipewa zawadi ya kuku na wenyeji wanavyokenua meno na kupiga picha; sasa aina maana wanashindwa kununua kuku wenyewe.

Badala ya raisi kujijengea kakikundi cha kumlinda atumie nguvu kuwaonyesha wananchi yupo kuisogeza nchi mbele na kuinua maisha yao. Hatakuwa na shida ya kutetea kwanini aendelee 2025.

Habari za kutuambia nyimbo za CCM zinawakumbusha mbali na wanajua maana yake wao tu; sio uhalali kutuongoza.
 
Vp umehamisha magoli????hoja ya leo na khabari ya mjini Hangaya amempa za uso andunje,huko unapokwenda yaonesha namna gan unavyoweweseka
Huyu lazma avune alichopanda,mbna haoneshi ile jeuri aliyokuwa nayo wakat wa yule Iblisi mwenzake????kama ana huo ubavu????
Kama vp nenda kampet pet andunje wako mana co kwa kichapo alichokipata leo
Hangaya kapanic sababu ujumbe wa Ndugai uko very clear!


Unadhani Andunje kupewa vidonge kutamtoa gaidi ndani?
 
Ujumbe wa ndugai umewafanya mmepanic hatari!

Hadi mnatoa vichambo
 
Nijinyonge kwani mimi ni mfuasi wa gaidi?

Alafu vipi mbona habari zake ni kama hamna kabisa siku hizi au mmemsusa?

Kaa kwa kutulia, sasa hivi habari ya mjini ni andunje kushikishwa ukuta na bibi ushungi. Sukuma gang hamuamini kuwa Msoga line wamepindua meza. Hizi habari za gaidi fuatilia ww ili zikubebe kwenye mijadala humu ndani. Sasa hivi tunasikilizia kundi la dhalimu likishikishwa ukuta fullstop.
 
Hahhaha.. Kundi la dhalimu wako liko kwenye line ya mlo huku gaidi akiwa jela wengine wanalelewa huko nje!

Ndugai ndio amewashikisha ukuta ndio maana unaona wamepanic hadi wanatoa vichambo
 
Job amesema yale maneno amelishizwa ni watu wa mitandao hajasema yeye., lakini anaomba radhi sasa unapojaribu kumzunguka mkuu wa nchi haya ndio malipo yake., mama anapongezwa na kila mtu kwa hatua ya leo isipokuwa mazalia ya hayati na sukumagang
 
Hicho ndo kitu pekee nilichotaraji kutoka kwa Mama. Ningeshangaa asingefanya hivyo. Ila hapo kwenye Mabadiliko asiishie kwenye baraza la mawaziri ashuke chini kwenye Makatibu, wakurugenze na wakuu mbalimbali wa Idara na taasisi. Huku chini ndo hawamsaidii kabisa na wanafanya hila za wazi kumuangusha. Piga kazi Mama tupo bega kwa bega hadi kieleweke
 
Pia nasikia Emmanuel Nchimbi karudishwa kutoka ubalozi Brazil, natabiri kitu hapo! Kitu kikubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…