Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hivi hili ni swali kipenzi?Niagize mbuzi tusherekee baba watoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hili ni swali kipenzi?Niagize mbuzi tusherekee baba watoto?
hivi hotuba nzima umeifatilia? mbn hayo yamejibiwa au unaropoka ?Kwa wale wanaofuatilia Nigerian movies Hasa zile za miaka ya 2000, main character wa kwenye hizi filamu mara "nyingi" anakua Mlevi au lah kichaa! Hii inafanya Watu kutoutilia maanani ujumbe wake kwa sababu tu anayeongea ni ama ni "Mlevi" au "kichaa"!
Ndugai kwenye hili la Tozo namuona kama Main Character, sijasema ni kichaa au Mlevi ila NDUGAI ana point anayo hoja ya msingi!
Pesa ya Tozo ilikusanywa kujenga madarasa instead madarasa yanajengwa kwa mkopo "nafuu"!!
Suala sio mkopo una masharti nafuu kiasi Gani, suala hapa analoongea our Main Character kwenye hii Movie ni "Kwanini Pesa ya Tozo kwenye miamala ya kifedha haitumiki kujengea madarasa kama tulivyoaminishwa?"
Ni swali simple tu ambalo halikuhitaji Samia kutokwa na jasho na vijembe vyote vile, wangeweza kuitana wenyewe faragha wakamalizana.
Ila haya yote ni Ili utabiri wa Nabii Lema utimie kama alivyowahi kunena 'wakimalizana na sisi, watageukiana wenyewe kwa wenyewe"
Alamsiki
Hangaya kapanic sababu ujumbe wa Ndugai uko very clear!Atampanikisha nani wakati yeye mwenyewe yuko madarakani kwa wizi wa kura? Kama angekuwa anajiamini na huo ujumbe wake asingeomba msamaha wa kufala vile.
Unadhani ukitaja neno gaidi ndio utapunguza makali ya andunje kupewa vitasa vyake?
Katika hali ya kawaida Ndugai atapigiwa kura ya kutokuwa na imani naye kwa kuwa mpaka leo anamuota Magufuli kama Rais!Wale wajumbe walisimama na kuimba wimbo TUNA IMANI NA SAMIA ina maana hawana imani na Ndugai sasa Ndugai atafanyaje. Halafu alishamuonya naona atamkimbuka
Atampanikisha nani wakati yeye mwenyewe yuko madarakani kwa wizi wa kura? Kama angekuwa anajiamini na huo ujumbe wake asingeomba msamaha wa kufala vile.
Unadhani ukitaja neno gaidi ndio utapunguza makali ya andunje kupewa vitasa vyake?
Hangaya kapanic sababu ujumbe wa Ndugai uko very clear!
Unadhani Andunje kupewa vidonge kutamtoa gaidi ndani?
Uraisi wa namna iyo ni sawa na kwenda kupora mazao ya wananchi maskini halafu upike na kula mbele yao kisa ubabe; watakwambia hewala sio utumwa lakini mapenzi na wewe hakuna.Mbona unaongea kama hujui siasa za ccm?
Hata kama samia ameshindwa kuongoza nchi, kumbuka kauli ya wana-ccm ni urais kuachiana miaka 10
Sasa wewe kapige kura huko upinzani ila wakina kingai wataipeleka kura yako kwenye box la ccm
Hangaya kapanic sababu ujumbe wa Ndugai uko very clear!
Unadhani Andunje kupewa vidonge kutamtoa gaidi ndani?
Ujumbe wa ndugai umewafanya mmepanic hatari!Vp umehamisha magoli????hoja ya leo na khabari ya mjini Hangaya amempa za uso andunje,huko unapokwenda yaonesha namna gan unavyoweweseka
Huyu lazma avune alichopanda,mbna haoneshi ile jeuri aliyokuwa nayo wakat wa yule Iblisi mwenzake????kama ana huo ubavu????
Kama vp nenda kampet pet andunje wako mana co kwa kichapo alichokipata leo
Wawe bodaboda Tu si kila siku wanasema tujiajiri??Watafanya kazi gani wakijiuzulu?
Nijinyonge kwani mimi ni mfuasi wa gaidi?Hilo unajua ww, hutaki jinyonge.
Ujumbe wa ndugai umewafanya mmepanic hatari!
Hadi mnatoa vichambo
Nijinyonge kwani mimi ni mfuasi wa gaidi?
Alafu vipi mbona habari zake ni kama hamna kabisa siku hizi au mmemsusa?
Hahhaha.. Kundi la dhalimu wako liko kwenye line ya mlo huku gaidi akiwa jela wengine wanalelewa huko nje!Kaa kwa kutulia, sasa hivi habari ya mjini ni andunje kushikishwa ukuta na bibi ushungi. Sukuma gang hamuamini kuwa Msoga line wamepindua meza. Hizi habari za gaidi fuatilia ww ili zikubebe kwenye mijadala humu ndani. Sasa hivi tunasikilizia kundi la dhalimu likishikishwa ukuta fullstop.
Naropoka, na wewe ropoka! Mpuuzi mkubwa wewehivi hotuba nzima umeifatilia? mbn hayo yamejibiwa au unaropoka ?
Job amesema yale maneno amelishizwa ni watu wa mitandao hajasema yeye., lakini anaomba radhi sasa unapojaribu kumzunguka mkuu wa nchi haya ndio malipo yake., mama anapongezwa na kila mtu kwa hatua ya leo isipokuwa mazalia ya hayati na sukumagangMwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.
Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.
Kwahiyo mnataka nini??
Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.
Mtu ameshaomba radhi.
Yeye bado kashikilia bango.
Poor thinking capacity.
Pia nasikia Emmanuel Nchimbi karudishwa kutoka ubalozi Brazil, natabiri kitu hapo! Kitu kikubwa!Huyu mama anapaswa kuelewa nafasi aliyonayo ni nyeti namba moja kitaifa.
Unapoendeleza malumbano ya kike kwa mtu ambaye tayari amejishusha na kuomba msamaha.
Rais wa nchi unapaswa kuonyesha ukomavu wa kisiasa ikiwemo pia kuwavumilia na kuwasamehe wale msioendana kimtizamo.
Mimi binafsi namuona mama kama vile ndie kaingia mtego wa Ndugai.
Vinginevyo siasa ndani ya CCM zitamsumsumbua zaidi, kwani atabaki na kundi la wanafiki kama huyo Mwigulu & wanafiki classics