Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Acha kunajisi kanisa katoliki wewe. Slaa kaishi na mushumbusi mpaka na watoto wamezaa ni wapi kanisa linabariki mapadre wazae na wanawake?
Wewe ndio hujui sasa. One's umekuwa pandre ndio kimoja Chief hakuna kurud nyuma
 
Busy kutishia tishia kuvua tuvyeo vya kipuuzi na uwakili wa watu waliousomea, petty minded
 
Anaweza kuwa yuko kazini pia .....! Good Morning
 
Nampongeza Mama Samia kwa haya maamuzi magumu. Haiwezekani kulea ujinga unaoathiri watanzania milioni 60. Dr Slaa amestahili hiyo adhabu.
Adhabu hii haina nguvu yoyote sana sana imemu expose Sa100 kwa watu wenye akili timamu!
Mwanamke hata awe na mamlaka vp hawezi acha kisirani, pia ni mnafki alijinasibu yeye ni mcha Mungu na mpenda maridhiano kumbe sivyo alivyo moyoni.
Angempotezea Slaa kwa watu makini angeonekana ana ngozi ngumu kweli kwa yeye kama mwanasiasa ila kumbe ni mpenda kusifiwa na kwamba hata haya maujinga ya chawa wa mama huwa yanamfurahisha sana moyo.
Jinga kabisa!
 
Kwenda huko wewe uliyekosa adabu na heshima.Alipewa na Mtu mwenye cheo cha Urais na sasa Amevuliwa na Rais . Aendelee na matusi na lugha zake za uchochezi aone kama hajatupwa Ndani kujieleza .
Alipewa cheo hicho na Rais (aliyechaguliwa kwa kura) ila kavuliwa na rais (aliyepewa na katiba).
Hata neno Rais na rais inasadifu tofauti zao!.
 
Mwabukuzi naye alisema wakitaka wachukue uwakili. Hivi wakivua wanapeleka wapi. Kuna siku viongozi wastaafu watavuiwa ustaafu we ngoja.
 
mimi nimeelewa uliposema sasa yeye haishi kupitia huo ubalozi.
na je angeliishi kupitia huo ubalozi nadhani mkataba wa bandari ungefaa.
 
Mama aliyekuzaa wewe mpuuzi naye ni mnafiki sana na mwenye kisirani
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu.
Nafikiri Slaa alifanya maamuzi sahihi kuliko hata Mbowe.

Angewezaje kukaa meza moja na Lowasa ambaye yeye alimtaja kuwa ni fisadi na eti anapewa ridhaa ya kugombea uraisi kupitia Chadema?

Slaa pekee ndiye alisimamia maneno yake aliyoyatamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…