Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Kwenda huko wewe uliyekosa adabu na heshima.Alipewa na Mtu mwenye cheo cha Urais na sasa Amevuliwa na Rais . Aendelee na matusi na lugha zake za uchochezi aone kama hajatupwa Ndani kujieleza .
Akitupwa ndani maisha yako yatabadilika?
 
Hata hivyo yeye siyo wakwanza kuvuliwa hadhi ya Ubalozi.....
 
Huyu mtu anapata wapi muda wakuangaika na hadhi ya mtu wakati kuna mamno ya msingi hayaendi nchini.Au yeye hayoni hali ilivyo.siku ifike tu kwakweli.
 
Yah inaleta zaid ya ugali sababu anapewa huduma zote za ki vip iwe ndani au nje ya tz na ilikuwa ana passport ya diplomat but now mkavu tu hata kuruta anamkwida mkanda
Passport ya diplomat inaisha pale pale unapotoka kwenye ubalozi,ni kwa kipindi kile tu akiwa balozi akishabadilishwa anarudi kwenye passport ya kawaida
 
Vyovyote Vile, Ila Huwezi Kuelewa Umuhmu Wa Amani Mpaka Itakapo Ondoka, Huo Ujasiri Ulionao Hapo Wa Kuchukua Simu Yako Na Kuqoute Coment Yangu Ni Kwasababu Ya Hii Amani Unayotamani Itoweke Kwa Maslah Ya Watu Ambao Hawawezi Kukukmbuka Wewe Wakifanikisha Azma Yao
😆😆 Hivi mtu anayelala njaa na hajui kesho atakula nini unaweza kusema ana amani?!
 
Wewe mzee hebu jitafakari kama akili yako ipo sawa. Ulianza kuvuliwa upadri , Ukaingia kwenye siasa Chadema wakakuvua uanachama baada ya kusaliti chama...
Kilichobaki ni Dr kukuvua chupi wewe na famlia yako na na wana ccm wote awapige mashine
 
Back
Top Bottom