Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Tunashauriwa sana kuomba Mwisho mwema

Mzee ana frustration sana maana nguvu na fedha vinaisha kwa pamoja na alisaliti Mke kwa ajili ya Kimada na Kimada kamsaliti Mzee kwa kimada kapata kimada mwenzie

sasa hivi panda shuka ya ku report Polisi na hata kupeleka chakula Polisi ni kazi ya kijana wake yule wa Kiume

Wengine tumeishia tu ku post kumsifia sijui Mzalendo, sijui Mwanaume wa Shoka sijui ana msimamo usioyumba

Watu wake wa karibu wamkumbushe Mfupa uliomshinda akiwa na meno hatouweza akiwa kibogoyo
 
Kwi kwi kwiiii
20141018_MAP004_0.jpg
 
Kumvua ubalozi Dkt. Slaa ndio jibu la hoja ya uhovyo wa IGA ya Tanzania na Dubai PW?
 
Back
Top Bottom