johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bora hata angealikwa DJ au yule prof mapumba au sioSo ndiyo itakuwa nini au kuna faida yoyote?
Maisha bila planning hayaendi sembuse mambo ya kiserikali!Ana Uhakika atafika Hyo December 9?
Kwani lazima awepo yeye?Ana Uhakika atafika Hyo December 9?
Wakati Wajumbe Wa CCM Wanataka Hayati Magufuli aongezewe mda ulihoji Kama Hatafika Huo Mwaka.Kwani lazima awepo yeye?
Urais ni taasisi, si mtu.
Kwanini asialikwe ndigi yako?Bora hata angealikwa DJ au yule prof mapumba au sio
Basi angemuarika mnyarwanda mwenzako kagameBora hata angealikwa DJ au yule prof mapumba au sio
Yani kamwalika Rais wa Kenya awe mgeni rasmi (the most important guest at an occasion) kwenye Sherehe ya Uhuru wa Tanganyika?? Hii protokali imeanza lini ndugu zangu😳😳😳😳Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021.
Rais Kenyatta amekubali ombi hilo.
===
Rais Samia Suluhu: Mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari, mwaka huu ifikapo mwezi December, Tanzania tunatimiza miaka 60 ya uhuru wetu na hivyo nimetoa mwaliko rasmi kwa Rais Uhuru Kenyatta awe mgeni rasmi katika maadhimisho yale ya miaka 60 ya uhuru wetu.
Kazi Iendelee!