Ndiyo inaanza sasa elewa hivyo. Diplomasia haiko static bali ni dynamicYani kamwalika Rais wa Kenya awe mgeni rasmi (the most important guest at an occasion) kwenye Sherehe ya Uhuru wa Tanganyika?? Hii protokali imeanza lini ndugu zanguπ³π³π³π³
Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021.
Rais Kenyatta amekubali ombi hilo.
===
Rais Samia Suluhu: Mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari, mwaka huu ifikapo mwezi December, Tanzania tunatimiza miaka 60 ya uhuru wetu na hivyo nimetoa mwaliko rasmi kwa Rais Uhuru Kenyatta awe mgeni rasmi katika maadhimisho yale ya miaka 60 ya uhuru wetu.
Kazi Iendelee!
Kwenye Idi ndo kuna faida zaidi kuliko hiyo Uhuru Day? Ficha upumbavu wako hapa JFAngemwalika kwenye Iddi
Sio kwa dharura,kwa mipango ya munguHata Hivyo Huyu Kafika Hapo Kwa Emergency Tu Wala Hakutarajia Kabisa. Najiuliza Hivi Uwaga Wakikutana Rais Wa JMT na Rais Wa BMZ Uwaga wanaongea Nn?
Kosa la uhaini Kama ukijulikana,ilitakiwa useme hivyo wakati magufuli kafariki na Samia hajaapishwa.
Mashujaa wote wako makaburiShujaa angekuwepo hilo jambo lisingetokea, yaani kabisa amruhusu Kenyatta atokee kwenye fonti fedi?
Rais anapokua ugenini,jukumu la ulinzini la mwenyeji wake,sio yeye.Wakuu
Kwanini leo Rais wetu akiwa kenya mpambe alikuwa mwenye jezi za KENYA / MKENYA?
Dah...hata Nani nimeshtuka Sana,[emoji2960]Yani kamwalika Rais wa Kenya awe mgeni rasmi (the most important guest at an occasion) kwenye Sherehe ya Uhuru wa Tanganyika?? Hii protokali imeanza lini ndugu zangu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mmmh watu wengine sijui huwa mna matatizo gani?!? Una umri gani wewe? Diplomasia yetu imekuwa nzuri kabisa...ungekuwepo 1977 Hadi 1985 pengine usingeandika haya...hovyo kabisa...Mwanzo mzuri wa kukua kwa diplomasia ya Tanzania iliyokuwa imefikia kwango cha chini kabisa (2015-20) kuliko wakati wowote tangu uhuru! Liberata Mulamula kazini!
Labda yupo nje ya nchi Kama Lema na TunduKosa la uhaini Kama ukijulikana,ilitakiwa useme hivyo wakati magufuli kafariki na Samia hajaapishwa.
Uwe Makini katika kuandika,hii sentesi yako yaweza kukufikisha mahali pabaya usipotarajia Kama wakiamua kukufuatilia,huwezi jificha Kama unatumia mtandao.
Hata melo mwenyewe kwa comment Kama hii hawezi kukuficha Kama wenye mamlaka wakitaka mawasiliano yako.
Sio Hauati, Sema MwendazakeWakati Wajumbe Wa CCM Wanataka Hayati Magufuli aongezewe mda ulihoji Kama Hatafika Huo Mwaka.
... sikutegemea mataga uandike tofauti! Weka na ziara za viongozi walioitembelea Tz kipindi cha Mwl; Mwinyi; Mkapa; na Kikwete utajigundua mpumbavu ni nani!Ficha upumbavu wakoView attachment 1773370
mlikuwa mnaipimaje kama imeshuka!!!??Mwanzo mzuri wa kukua kwa diplomasia ya Tanzania iliyokuwa imefikia kwango cha chini kabisa (2015-20) kuliko wakati wowote tangu uhuru! Liberata Mulamula kazini!
... huwezi kusimama hadharani kutukana wengine ukasema kuna mahusiano mazuri! Fuatilia kipindi chote cha Rais Samia kama utasikia tusi lolote kwa nchi au mwananchi yeyote wa kigeni. Kama kutakuwa na kuhitilafiana (which is normal) mambo yatamalizwa diplomatically.mlikuwa mnaipimaje kama imeshuka!!!??
diplomasia sio unafiki bali ni ushirikiano wa kweli baina yenu.... huwezi kusimama hadharani kutukana wengine ukasema kuna mahusiano mazuri! Fuatilia kipindi chote cha Rais Samia kama utasikia tusi lolote kwa nchi au mwananchi yeyote wa kigeni. Kama kutakuwa na kuhitilafiana (which is normal) mambo yatamalizwa diplomatically.
... "... ana kifua .." sifa muhimu sana ya diplomat! Kutukanatukana mataifa na raia wa kigeni sio diplomasia ni ushamba na ukosefu wa weledi wa kidiplomasia. By the way, unaonekana mwehu tu!diplomasia sio unafiki bali ni ushirikiano wa kweli baina yenu.
tz haijawahi kuwa na kinyongo na nchi yoyote,shida ni pale tulipoanza kupangiana mambo binafsi.mama mwenyewe tayari kashaanza kuonyesha jeuri,tofauti yake na mwendazake yeye ana kifua tu.
Labda alikuwa bado anakula udongo wa pembeni ya matairi ya magari.Acha upumbavu! Mbona hukuyasema hayo wakati wa mzee Ruksa? Au wakati ule ulikuwa unanyonya ziwa na kunya Mavi ya mafungu?
π π π π I seeAngemwalika kwenye Iddi