jpm aliwaweza.... "... ana kifua .." sifa muhimu sana ya diplomat! Kutukanatukana mataifa na raia wa kigeni sio diplomasia ni ushamba na ukosefu wa weledi wa kidiplomasia. By the way, unaonekana mwehu tu!
... yuko wapi sasa? One-man show haijawahi kuweza lolote!jpm aliwaweza.
unafiki ni kitu kibaya sana kwenye nchi masikini kama hizi za daraja la 4.
unauliza yuko wapi??ukimanisha kashindwa na aliokuwa akipambana nao au kashindwa kufanya alichokusudia!!!!!... yuko wapi sasa? One-man show haijawahi kuweza lolote!
Huyu mama anapenda ku compromise Sana. Yani tunarudi kule kule kwenye kila kitu ruksa. Ilifikia mahali kwenye utawala wa awamu ya nne kampuni ya maziwa ya kenyatta, ilikuwa inakusanya maziwa Tz wanakwenda kuprocess kisha wanayarudisha tena kama finished product. Baada ya JPM kuja, upuuzi huo ulikoma, wa Kenya ni kwenda nao kwa akili Sana.Lkn tunatakiwa tuzingatia uchumi pia wa nchi yetu,wakati wa utawala wa kikwete tanzania lilikuwa dampo la bidhaa za kenya,lkn kwenye utawala wa awamu ya tano,serikali ilikuwa ikivilinda viwanda vya ndani dhidi ya bidhaa toka nje,hivyo tunatakuwa tuendelee kuvilinda viwanda vyetu na wafanyabiashara wetu
Mimi wajuaji kama hawa wananiboaga kinyama....Ndiyo inaanza sasa elewa hivyo. Diplomasia haiko static bali ni dynamic
Ngoja tusubiri tuone ili tujifunze, tafsiri yake senior atakua Kenyatta au sio?Ndiyo inaanza hivyo chief π!
Tulia mkuu nipo vitaniπ π π π I see
Una vinasaba na shaban robert!Suluhu kwenye suluhu ya mambo na Uhuru kwenye Uhuru .mambo Hado
Bibi Mkora nchi ishamshinda hii.Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021.
Rais Kenyatta amekubali ombi hilo.
===
Rais Samia Suluhu: Mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari, mwaka huu ifikapo mwezi December, Tanzania tunatimiza miaka 60 ya uhuru wetu na hivyo nimetoa mwaliko rasmi kwa Rais Uhuru Kenyatta awe mgeni rasmi katika maadhimisho yale ya miaka 60 ya uhuru wetu.
Kazi Iendelee!
Naona leo unaugua kabisa!So ndiyo itakuwa nini au kuna faida yoyote?
TeteteteNaona leo unaugua kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23]...ukiyawwza sana utaugua cardiac arrest....Hapa ni kuishi kwa mwendo wa BIA TAMU..sindo hawa walisainishana mikataba fulani wawili tu,kimya kimya na mpaka Leo hatujui ,alisaini nn ,jmn haka kataifa kana watu wasumbufu aise!!duuuuh unaweza kuugua ukichaa ukikawazia sana.,bola ule bata tu.