Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo.
Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana Watanzania wengi hawana life flame. Wanaishi tu bora liende.
Tuchukulie ile issue ya yule Sungusungu wa kanisa fulani hapa Dar es salaam kupewa shati la jeshi na kupewa kofia kama ya jeshi iliyowekwa nembo kwa kitambaa laini kilichofanyiwa printing halafu kapewa mkatatasi ausome ili kuliamsha jeshi lipindue nchi.
Lile tukio Watanzania walilitolea macho sana ingawa mtu hakupaswa kutumia akili nyingi kung'amua udanganyifu ule.
Issue nyingine ni ile Wanaharakati kwa kushirikiana na Askofu Dickson wa ABC kutengeneza sms fake kisha kujitumia wenyewe baada kuzipa uhusika wa sms za maafisa na maaskari wa JWTZ na Jeshi la polisi ambazo ziliweza kuwapeleka barabarani kuandamana. Huu mchezo pia aliucheza Mange kwa kujifanya kila leo amepokea jumbe na akiambiwa afiche I'd zao kwamba wanajeshi hawamtaki Rais.
Watu wanaoshindwa kugundua vitu vidogo vidogo namna hii ni ngumu sana kuwaongoza.