Rais Samia ana kibarua kizito sana cha kuwaongoza watu wa aina hii

Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo.

Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana Watanzania wengi hawana life flame. Wanaishi tu bora liende.

Tuchukulie ile issue ya yule Sungusungu wa kanisa fulani hapa Dar es salaam kupewa shati la jeshi na kupewa kofia kama ya jeshi iliyowekwa nembo kwa kitambaa laini kilichofanyiwa printing halafu kapewa mkatatasi ausome ili kuliamsha jeshi lipindue nchi.

Lile tukio Watanzania walilitolea macho sana ingawa mtu hakupaswa kutumia akili nyingi kung'amua udanganyifu ule.
Issue nyingine ni ile Wanaharakati kwa kushirikiana na Askofu Dickson wa ABC kutengeneza sms fake kisha kujitumia wenyewe baada kuzipa uhusika wa sms za maafisa na maaskari wa JWTZ na Jeshi la polisi ambazo ziliweza kuwapeleka barabarani kuandamana. Huu mchezo pia aliucheza Mange kwa kujifanya kila leo amepokea jumbe na akiambiwa afiche I'd zao kwamba wanajeshi hawamtaki Rais.

Watu wanaoshindwa kugundua vitu vidogo vidogo namna hii ni ngumu sana kuwaongoza.

View attachment 3512512
Mnachoweza nyinyi siku zote ni kuimba taarab yenye vichambo na mipasho ndani yake. Hamjawaji kuwa na uwezo wa kuwaongoza watu wenye akili timamu.
 
Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo.

Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana Watanzania wengi hawana life flame. Wanaishi tu bora liende.

Tuchukulie ile issue ya yule Sungusungu wa kanisa fulani hapa Dar es salaam kupewa shati la jeshi na kupewa kofia kama ya jeshi iliyowekwa nembo kwa kitambaa laini kilichofanyiwa printing halafu kapewa mkatatasi ausome ili kuliamsha jeshi lipindue nchi.

Lile tukio Watanzania walilitolea macho sana ingawa mtu hakupaswa kutumia akili nyingi kung'amua udanganyifu ule.
Issue nyingine ni ile Wanaharakati kwa kushirikiana na Askofu Dickson wa ABC kutengeneza sms fake kisha kujitumia wenyewe baada kuzipa uhusika wa sms za maafisa na maaskari wa JWTZ na Jeshi la polisi ambazo ziliweza kuwapeleka barabarani kuandamana. Huu mchezo pia aliucheza Mange kwa kujifanya kila leo amepokea jumbe na akiambiwa afiche I'd zao kwamba wanajeshi hawamtaki Rais.

Watu wanaoshindwa kugundua vitu vidogo vidogo namna hii ni ngumu sana kuwaongoza.

View attachment 3512512
... another fool with confidence.
 
Samia Suluhu anauza nchi halafu hataki kuondoka. Tathmini iliyofanyika ni kwamba so far tumebaki na Ikulu na Tanesco tu
 
Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo.

Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana Watanzania wengi hawana life flame. Wanaishi tu bora liende.

Tuchukulie ile issue ya yule Sungusungu wa kanisa fulani hapa Dar es salaam kupewa shati la jeshi na kupewa kofia kama ya jeshi iliyowekwa nembo kwa kitambaa laini kilichofanyiwa printing halafu kapewa mkatatasi ausome ili kuliamsha jeshi lipindue nchi.

Lile tukio Watanzania walilitolea macho sana ingawa mtu hakupaswa kutumia akili nyingi kung'amua udanganyifu ule.
Issue nyingine ni ile Wanaharakati kwa kushirikiana na Askofu Dickson wa ABC kutengeneza sms fake kisha kujitumia wenyewe baada kuzipa uhusika wa sms za maafisa na maaskari wa JWTZ na Jeshi la polisi ambazo ziliweza kuwapeleka barabarani kuandamana. Huu mchezo pia aliucheza Mange kwa kujifanya kila leo amepokea jumbe na akiambiwa afiche I'd zao kwamba wanajeshi hawamtaki Rais.

Watu wanaoshindwa kugundua vitu vidogo vidogo namna hii ni ngumu sana kuwaongoza.

View attachment 3512512
hilo tobo lako likishaanza kuwasha unaanza kuhangaika mpaka huku jf utafikiri sisi ndiyo tulikutoa marinda madrasa huko!
 
Back
Top Bottom