Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Huyo hana sifa wala uwezo wa kuongoza hii nchi. Amekataliwa mbinguni mpaka na kuzimuKuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo.
Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana Watanzania wengi hawana life flame. Wanaishi tu bora liende.
Tuchukulie ile issue ya yule Sungusungu wa kanisa fulani hapa Dar es salaam kupewa shati la jeshi na kupewa kofia kama ya jeshi iliyowekwa nembo kwa kitambaa laini kilichofanyiwa printing halafu kapewa mkatatasi ausome ili kuliamsha jeshi lipindue nchi.
Lile tukio Watanzania walilitolea macho sana ingawa mtu hakupaswa kutumia akili nyingi kung'amua udanganyifu ule.
Issue nyingine ni ile Wanaharakati kwa kushirikiana na Askofu Dickson wa ABC kutengeneza sms fake kisha kujitumia wenyewe baada kuzipa uhusika wa sms za maafisa na maaskari wa JWTZ na Jeshi la polisi ambazo ziliweza kuwapeleka barabarani kuandamana. Huu mchezo pia aliucheza Mange kwa kujifanya kila leo amepokea jumbe na akiambiwa afiche I'd zao kwamba wanajeshi hawamtaki Rais.
Watu wanaoshindwa kugundua vitu vidogo vidogo namna hii ni ngumu sana kuwaongoza.
View attachment 3512512
Na wewe hapo umeona umetumia akili sana kuandika hicho!Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo.
Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana Watanzania wengi hawana life flame. Wanaishi tu bora liende.
Tuchukulie ile issue ya yule Sungusungu wa kanisa fulani hapa Dar es salaam kupewa shati la jeshi na kupewa kofia kama ya jeshi iliyowekwa nembo kwa kitambaa laini kilichofanyiwa printing halafu kapewa mkatatasi ausome ili kuliamsha jeshi lipindue nchi.
Lile tukio Watanzania walilitolea macho sana ingawa mtu hakupaswa kutumia akili nyingi kung'amua udanganyifu ule.
Issue nyingine ni ile Wanaharakati kwa kushirikiana na Askofu Dickson wa ABC kutengeneza sms fake kisha kujitumia wenyewe baada kuzipa uhusika wa sms za maafisa na maaskari wa JWTZ na Jeshi la polisi ambazo ziliweza kuwapeleka barabarani kuandamana. Huu mchezo pia aliucheza Mange kwa kujifanya kila leo amepokea jumbe na akiambiwa afiche I'd zao kwamba wanajeshi hawamtaki Rais.
Watu wanaoshindwa kugundua vitu vidogo vidogo namna hii ni ngumu sana kuwaongoza.
View attachment 3512512
Inahitaji moyo sana kuwaongoza watanzania, si rahisi kama mtu anavyofikiria. Shida kubwa ya mtanzania, hajui kizuri ni kipi na kibaya ni kipi. Inabidi umuonyeshe njia hata ya kwenda barazani toka jikoni. Ni balaa!Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo.
Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana Watanzania wengi hawana life flame. Wanaishi tu bora liende
Sawa chizi wa mirembe,ni yapi maoni yako sasa?Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo.
Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana Watanzania wengi hawana life flame. Wanaishi tu bora liende.
Tuchukulie ile issue ya yule Sungusungu wa kanisa fulani hapa Dar es salaam kupewa shati la jeshi na kupewa kofia kama ya jeshi iliyowekwa nembo kwa kitambaa laini kilichofanyiwa printing halafu kapewa mkatatasi ausome ili kuliamsha jeshi lipindue nchi.
Lile tukio Watanzania walilitolea macho sana ingawa mtu hakupaswa kutumia akili nyingi kung'amua udanganyifu ule.
Issue nyingine ni ile Wanaharakati kwa kushirikiana na Askofu Dickson wa ABC kutengeneza sms fake kisha kujitumia wenyewe baada kuzipa uhusika wa sms za maafisa na maaskari wa JWTZ na Jeshi la polisi ambazo ziliweza kuwapeleka barabarani kuandamana. Huu mchezo pia aliucheza Mange kwa kujifanya kila leo amepokea jumbe na akiambiwa afiche I'd zao kwamba wanajeshi hawamtaki Rais.
Watu wanaoshindwa kugundua vitu vidogo vidogo namna hii ni ngumu sana kuwaongoza.
View attachment 3512512
Kwa hiyo wewe ndo una akili kuliko Watanzania wote Kwa sababu ya kuandika hichi ulichoandika hapa!!
Msukule wa Mama Samia.hivi mpaka leo hamjajua kuwa watanzania tumeelimika na tunajua ujambazi,wizi na uuaji wenu?lazima muondoke hamuwezi kuzuia Mabadiliko.Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo.