Rais Samia ana uchungu sana na Nchi kuliko wananchi wenyewe!

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
1,028
Reaction score
1,790
Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza.

Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!?

Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na wengine hawawezi.!?

Je yeye ndie mzalendo sana na unauchungu sana na nchi hii kuliko wengine!?

Ni kitu gani hicho ambacho yeye anakipambania kwa maslahi ya taifa ambacho wengine wote hawawezi isipokua yeye tu.!?

Hii ni hoja fikirishi katika nchi ya kufikirika, Fikilia kwamba kuna Nchi/taifa la namna hii na karibu kwa maoni yako.
 
Huyo akili yake anafikiria Ana akili na anapendwa kuliko mungu, kazungukwa na watu akili kama Lucas Msandambwa wanamsifia 24/7 anajiona gift kwa watanzania,wapambe sasa hawaibi wamefunga bomba la kusafisha kila kitu kinachopita mbele yao,siku akitoka central bank balance itakuwa negative
 
Mimi nifikilie labda ni sawa hiyo nchi haina mbadala wake, yeye tu ndio anaeiwezea nchi, wengine wote hamna kitu na kama watapewa mzigo wake/viatu vyake basi hata mwaka haufiki Nchi inaanguka.

Sawa ninakubali hoja hiyo... basi na mimi nitamuomba asing'atuke bali aendelee ila abadilike na asikilize sauti za anaowaongoza zinataka nini na azichakate na kuzitekeleza ili yeye na anawaongoza wawe kitu kimoja kwa maslahi mapana ya Taifa lao.

Na kama atafanya hivyo ninaamini taifa litanufaika kama ifuatavyo;

Kwanza Taifa litaimarika kisiasa na kua na amani, kutokana na umoja nguvu na mshikamano unaozalishwa na haki, utawala bora wa sheria.

pili hakutakua na hali ya hatari inayohatarisha, katika vita ya kiuchumi na vitisho vya usalama wa taifa, hii itachochewa na umoja nguvu na mshikamano wao unaotokana na Imani ya wananchi kwa serikali yao kutokana na kutenda haki kwa utawala bora wa sheria.

Tatu kutakuwa na kushamili kwa ukuaji wa uchumi katika sekta zote na madaraja yote, biashara ndogo na zakati pia wawekeaji kumiminika kupelekea kiwango cha ukuaji/rate wa uchumi kinakuwa juu na kujihakikishia ufikiwaji wa malengo yao walijiwekea katika dira yao.

Hayo ni machache kwa leo...

#haya maoni ni kwa upeo wa kizalendo(mfumo wa mabano)... Ila ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu tukitumia upeo wa juu.
 
Haoni maisha nnje ya urais ni ama afe au aende jela maisha
Mwili, roho na nafsi... kuna maisha baada ya mwili kurejea mavumbini ulikotokea.... Roho yake itakuwa mgeni wa nani pindi itakapokutana kwa pamoja, yeye,The source na roho zawalioteseka kwa maamuzi/hekima aliyoitumia katika nafasi ya cheo chake kule duniani...

Licha ya watume wa the source na watu wengine wenye hekima kumuonya kuwa anakosea...na kumuonyesha in advance kuwa kitatokea hiki kama usipofanya hivi na ikatokea...

Na wakampendekezea ni nini cha kufanya lakini hakuwasikiliza.
 
Sikio la kufa ila ninachojua hata kufa cha kawaida
 
Anapambania maslahi yake na watu wake.
He kumbe...kama ni hivyo Itabidi tulete assumption nyingine kwamba; Inamaama nchi hiyo inavyombo vya usalama na ulinzi vya hovyo.

Mifumo ipo corrupted kiasi hicho basi ikiendelea hivyo nchi itakua failed state.

Katika upeo na Ufahamu wa juu ceiling conciousness kuwa na mlundikano wa mali/material things si kitu bali ni illusion.

Hivyo Mtu anaeimaliza dunia kuua uhai kwa sababu ya kumiliki mali na kijilimbikizia utajili wa vitu tena kwa gharama ya uhai ni wakumuonea huruma na kumsamehe maana hajui atendalo.

Kiufupi sana kitendo hicho ni ushamba tu... na huwezi jua haya kama Ufahamu wako upo katika mfumo mabano labda upevuke katika Ufahamu halisi na upeo wa juu.
 
Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza.

Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!?

Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na wengine hawawezi.!?

Je yeye ndie mzalendo sana na unauchungu sana na nchi hii kuliko wengine!?

Ni kitu gani hicho ambacho yeye anakipambania kwa maslahi ya taifa ambacho wengine wote hawawezi isipokua yeye tu.!?

Hii ni hoja fikirishi katika nchi ya kufikirika, Fikilia kwamba kuna Nchi/taifa la namna hii na karibu kwa maoni yako.
Huyu ameingia madarakani kwa kumwaga damu za watu zaidi ya 10,000
 
Ukiona hivyo ujue yupo hapo kwa maslahi binafsi yeye na inner circle yake, wako hapo kuneemeka na siyo kwaajili ya watu au nchi, wamegeuza nafasi zao kama ajira ya kudumu badala ya kuwa sehemu ya utumishi
 
Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza.

Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!?

Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na wengine hawawezi.!?

Je yeye ndie mzalendo sana na unauchungu sana na nchi hii kuliko wengine!?

Ni kitu gani hicho ambacho yeye anakipambania kwa maslahi ya taifa ambacho wengine wote hawawezi isipokua yeye tu.!?

Hii ni hoja fikirishi katika nchi ya kufikirika, Fikilia kwamba kuna Nchi/taifa la namna hii na karibu kwa maoni yako.
Mkuu upo sahihi , mhe rais Samia kwa upande wangu ,namtazama kwa sura tatu
1.wakati akiwa makamo na mwanzonii anapishwa- alikuwa msikivu na mwenye maono
2.katkati baada kuwa rais - Alikuwa mkari kama pilipili ukinizingua nakuzingua
3 .Samia wa sasa - kawwa mtulivvu
Maghufuli ,kijazi ,mkapa na wengine wengi wamefarki ktk mazingira yasiofahamika ( hofu lazima imuingie
Lejea kauli ya nchibi - rais ana taka KATIBA mpya .sasa kama rais ana taka KATIBA mpya nan ambae hataki
Tanzania ni kama kuna kikundi Cha watu ambao Wana nguvu kushiindaa. Rais aliopo madarakani
Sasa ni wakati muafaka
Vyombo vya DOLA ninyii ndyo mmanaojua mbivu na mbichi .nchi ni yetu sote mna ndugu,jamaa na marafiki . Hayo makundi kama yapo myasambalatishe mbali tim it over tutalia mpaka lini?
 
Ana maslahi na wenye mfumo waliomweka! Deep state!
Hawa kidogo naweza kuwa na imani nao labda, huenda, pengine labda wanapicha ambayo mimi nimeshindwa kuiona kwaukubwa na angle wanayoiona wao...

Nilishawaza hivi lakini nikaona mbona ni kama too much, na je wale wananchi wajanja wajanja watatofautisha/watathibitisha vipi kuwa hii Serikali ina nia njema au ni mafisadi...

Pia watu hao wanapohoji na kukosoa mbona wanakutana na vitu vizito mno kulinganisha na mambo waliyofanya, kuuawa, kuingiliwa kinyume na maumbile, kutekwa, uhaini na kunyimwa haki nyingine za kibinadamu...

Sasa mtiti wote huu ni kwaajili ya mipango ya system kweli!? Kama ni hivyo basi hata system yenyewe inawalakini inaoperate chini ya shetani mwenyewe hivyo sio ya kuaminika wala kutegemeka.

Katika upeo wa juu kuna ndugu tunawaita Elitists hawa watu wanamichezo yao inayooperate kwa principle ya Game theory

Kama ndio hao basi ni wahuni kama wahuni wengine tu! unless, wawe na Hekima yakutambua na kuuthamini uhai wa ulimwengu na utu wa mtu/Binadamu.
 
Umenikumbusha kipindi cha nyuma nilikua naona live serikali ikitishiwa, inaonekana raisi alikuwa na misimamo yake na anataka kuimaterialize nchini... Ila kwa mfurulizo wa visa na matukio.

Ref;2021, ajari za ndege, vimbunga mara mafuliko &tetemeko yakuimeza dar...

Baadae Rais wa Nchi ile akachange sasa kuchange kule kuna maana gani na maana hiyo ni kwa maslahi ya nani taifa lao au kuna wahuni wanatutawala kutoka outside.

Kubadika kwa rais kuliashilia aidha ameelewa somo la so called deep state kama wana nia njema ama aliamua kukubaliana nao hao hatuwajui huaenda ni wahuni/mabeberu kwa kuhofia kupoteza uhai wake kama alivyoona mfano kwa kilichomkuta mtangulizi wake hivyo amesaliti amri na ametusaliti...

Kama hao watu ni wabaya kwa taifa letu basi tunaweza kusema ya kwamba ametusaliti ilitakiwa aifie nchi kama yule mtangulizi wake... Unless anaconsiri ha intesheni aka anajambo lake.
Mkuu upo sahihi , mhe rais Samia kwa upande wangu ,namtazama kwa sura tatu
1.wakati akiwa makamo na mwanzonii anapishwa- alikuwa msikivu na mwenye maono
2.katkati baada kuwa rais - Alikuwa mkari kama pilipili ukinizingua nakuzingua
3 .Samia wa sasa - kawwa mtulivvu
Maghufuli ,kijazi ,mkapa na wengine wengi wamefarki ktk mazingira yasiofahamika ( hofu lazima imuingie
Lejea kauli ya nchibi - rais ana taka KATIBA mpya .sasa kama rais ana taka KATIBA mpya nan ambae hataki
Tanzania ni kama kuna kikundi Cha watu ambao Wana nguvu kushiindaa. Rais aliopo madarakani
Sasa ni wakati muafaka
Vyombo vya DOLA ninyii ndyo mmanaojua mbivu na mbichi .nchi ni yetu sote mna ndugu,jamaa na marafiki . Hayo makundi kama yapo myasambalatishe mbali tim it over tutalia mpaka lini?
 
Ana maslahi na wenye mfumo waliomweka! Deep state!

Ukiona hivyo ujue yupo hapo kwa maslahi binafsi yeye na inner circle yake, wako hapo kuneemeka na siyo kwaajili ya watu au nchi, wamegeuza nafasi zao kama ajira ya kudumu badala ya kuwa sehemu ya utumishi

Mkuu upo sahihi , mhe rais Samia kwa upande wangu ,namtazama kwa sura tatu
1.wakati akiwa makamo na mwanzonii anapishwa- alikuwa msikivu na mwenye maono
2.katkati baada kuwa rais - Alikuwa mkari kama pilipili ukinizingua nakuzingua
3 .Samia wa sasa - kawwa mtulivvu
Maghufuli ,kijazi ,mkapa na wengine wengi wamefarki ktk mazingira yasiofahamika ( hofu lazima imuingie
Lejea kauli ya nchibi - rais ana taka KATIBA mpya .sasa kama rais ana taka KATIBA mpya nan ambae hataki
Tanzania ni kama kuna kikundi Cha watu ambao Wana nguvu kushiindaa. Rais aliopo madarakani
Sasa ni wakati muafaka
Vyombo vya DOLA ninyii ndyo mmanaojua mbivu na mbichi .nchi ni yetu sote mna ndugu,jamaa na marafiki . Hayo makundi kama yapo myasambalatishe mbali tim it over tutalia mpaka lini?

Umenikumbusha kipindi cha nyuma nilikua naona live serikali ikitishiwa, inaonekana raisi alikuwa na misimamo yake na anataka kuimaterialize nchini... Ila kwa mfurulizo wa visa na matukio.

Ref;2021, ajari za ndege, vimbunga mara mafuliko &tetemeko yakuimeza dar...

Baadae Rais wa Nchi ile akachange sasa kuchange kule kuna maana gani na maana hiyo ni kwa maslahi ya nani taifa lao au kuna wahuni wanatutawala kutoka outside.

Kubadika kwa rais kuliashilia aidha ameelewa somo la so called deep state kama wana nia njema ama aliamua kukubaliana nao hao hatuwajui huaenda ni wahuni/mabeberu kwa kuhofia kupoteza uhai wake kama alivyoona mfano kwa kilichomkuta mtangulizi wake hivyo amesaliti amri na ametusaliti...

Kama hao watu ni wabaya kwa taifa letu basi tunaweza kusema ya kwamba ametusaliti ilitakiwa aifie nchi kama yule mtangulizi wake... Unless anaconsiri ha intesheni aka anajambo lake.

Kuna kitu katika hizi hoja...

Inawezekana Rais aliwekwa kukalia kiti cha Nchi hiyo akidhani ni mapenzi ya mungu na kazi ya mola haina makosa...

Asijue kumbe ni well crafted plani za aidha deep state ama wahuni... Baada ya kumalizana na mtangulizi wake.

Walikua hawana muda wa kumpa semina kwani mambo yalikuwa yamoto na lukuki huku wakijua huyu anawenge bado.

Wakasema tutabuy more time na atatuelewanaga mbele ya safari lager kweli bwana muda unasonga visasiri na visakesho/matukio yanarindima, mwisho wa siku wakampatia akaelewa somo na wananchi wake wakaanza kuhoji mbona amebadilika sana... Inaonekana alielewa somo akapiga mabanda tupu.!?

Wakampenda sana wakaona kwa maslahi yetu, huyu tuishi nae no matter what... ndio kilichowakuta kabla na baada ya elecguzi na kinachoendendelea kutwakuta leo na kesho.

Swali la msingi hapa ni kwamaslahi ya nani !?
 
Yes, sio siri vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vyote vipo corrupted.

Hao wakuu wa vyombo hivyo wana mali nyingi mikoa tofauti Tz, wanapewa hivyo kama malipo ya kuilinda CCM iendelee kubaki madarakani.
 
Back
Top Bottom