Mwili, roho na nafsi... kuna maisha baada ya mwili kurejea mavumbini ulikotokea.... Roho yake itakuwa mgeni wa nani pindi itakapokutana kwa pamoja, yeye,The source na roho zawalioteseka kwa maamuzi/hekima aliyoitumia katika nafasi ya cheo chake kule duniani...Haoni maisha nnje ya urais ni ama afe au aende jela maisha
Sikio la kufa ila ninachojua hata kufa cha kawaidaMwili, roho na nafsi... kuna maisha baada ya mwili kurejea mavumbini ulikotokea.... Roho yake itakuwa mgeni wa nani pindi itakapokutana kwa pamoja, yeye,The source na roho zawalioteseka kwa maamuzi/hekima aliyoitumia katika nafasi ya cheo chake kule duniani...
Licha ya watume wa the source na watu wengine wenye hekima kumuonya kuwa anakosea...na kumuonyesha in advance kuwa kitatokea hiki kama usipofanya hivi na ikatokea...
Na wakampendekezea ni nini cha kufanya lakini hakuwasikiliza.
He kumbe...kama ni hivyo Itabidi tulete assumption nyingine kwamba; Inamaama nchi hiyo inavyombo vya usalama na ulinzi vya hovyo.Anapambania maslahi yake na watu wake.
Huyu ameingia madarakani kwa kumwaga damu za watu zaidi ya 10,000Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza.
Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!?
Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na wengine hawawezi.!?
Je yeye ndie mzalendo sana na unauchungu sana na nchi hii kuliko wengine!?
Ni kitu gani hicho ambacho yeye anakipambania kwa maslahi ya taifa ambacho wengine wote hawawezi isipokua yeye tu.!?
Hii ni hoja fikirishi katika nchi ya kufikirika, Fikilia kwamba kuna Nchi/taifa la namna hii na karibu kwa maoni yako.
Mkuu upo sahihi , mhe rais Samia kwa upande wangu ,namtazama kwa sura tatuKwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza.
Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!?
Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na wengine hawawezi.!?
Je yeye ndie mzalendo sana na unauchungu sana na nchi hii kuliko wengine!?
Ni kitu gani hicho ambacho yeye anakipambania kwa maslahi ya taifa ambacho wengine wote hawawezi isipokua yeye tu.!?
Hii ni hoja fikirishi katika nchi ya kufikirika, Fikilia kwamba kuna Nchi/taifa la namna hii na karibu kwa maoni yako.
Hawa kidogo naweza kuwa na imani nao labda, huenda, pengine labda wanapicha ambayo mimi nimeshindwa kuiona kwaukubwa na angle wanayoiona wao...Ana maslahi na wenye mfumo waliomweka! Deep state!
Mkuu upo sahihi , mhe rais Samia kwa upande wangu ,namtazama kwa sura tatu
1.wakati akiwa makamo na mwanzonii anapishwa- alikuwa msikivu na mwenye maono
2.katkati baada kuwa rais - Alikuwa mkari kama pilipili ukinizingua nakuzingua
3 .Samia wa sasa - kawwa mtulivvu
Maghufuli ,kijazi ,mkapa na wengine wengi wamefarki ktk mazingira yasiofahamika ( hofu lazima imuingie
Lejea kauli ya nchibi - rais ana taka KATIBA mpya .sasa kama rais ana taka KATIBA mpya nan ambae hataki
Tanzania ni kama kuna kikundi Cha watu ambao Wana nguvu kushiindaa. Rais aliopo madarakani
Sasa ni wakati muafaka
Vyombo vya DOLA ninyii ndyo mmanaojua mbivu na mbichi .nchi ni yetu sote mna ndugu,jamaa na marafiki . Hayo makundi kama yapo myasambalatishe mbali tim it over tutalia mpaka lini?
Ana maslahi na wenye mfumo waliomweka! Deep state!
Ukiona hivyo ujue yupo hapo kwa maslahi binafsi yeye na inner circle yake, wako hapo kuneemeka na siyo kwaajili ya watu au nchi, wamegeuza nafasi zao kama ajira ya kudumu badala ya kuwa sehemu ya utumishi
Mkuu upo sahihi , mhe rais Samia kwa upande wangu ,namtazama kwa sura tatu
1.wakati akiwa makamo na mwanzonii anapishwa- alikuwa msikivu na mwenye maono
2.katkati baada kuwa rais - Alikuwa mkari kama pilipili ukinizingua nakuzingua
3 .Samia wa sasa - kawwa mtulivvu
Maghufuli ,kijazi ,mkapa na wengine wengi wamefarki ktk mazingira yasiofahamika ( hofu lazima imuingie
Lejea kauli ya nchibi - rais ana taka KATIBA mpya .sasa kama rais ana taka KATIBA mpya nan ambae hataki
Tanzania ni kama kuna kikundi Cha watu ambao Wana nguvu kushiindaa. Rais aliopo madarakani
Sasa ni wakati muafaka
Vyombo vya DOLA ninyii ndyo mmanaojua mbivu na mbichi .nchi ni yetu sote mna ndugu,jamaa na marafiki . Hayo makundi kama yapo myasambalatishe mbali tim it over tutalia mpaka lini?
Umenikumbusha kipindi cha nyuma nilikua naona live serikali ikitishiwa, inaonekana raisi alikuwa na misimamo yake na anataka kuimaterialize nchini... Ila kwa mfurulizo wa visa na matukio.
Ref;2021, ajari za ndege, vimbunga mara mafuliko &tetemeko yakuimeza dar...
Baadae Rais wa Nchi ile akachange sasa kuchange kule kuna maana gani na maana hiyo ni kwa maslahi ya nani taifa lao au kuna wahuni wanatutawala kutoka outside.
Kubadika kwa rais kuliashilia aidha ameelewa somo la so called deep state kama wana nia njema ama aliamua kukubaliana nao hao hatuwajui huaenda ni wahuni/mabeberu kwa kuhofia kupoteza uhai wake kama alivyoona mfano kwa kilichomkuta mtangulizi wake hivyo amesaliti amri na ametusaliti...
Kama hao watu ni wabaya kwa taifa letu basi tunaweza kusema ya kwamba ametusaliti ilitakiwa aifie nchi kama yule mtangulizi wake... Unless anaconsiri ha intesheni aka anajambo lake.