Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Unaishi mafichoni ,tena utumwani , sisi tunatamba naye .
Kwani sisi tunaishi dubai , hauna kwenu?Kabisa nawaona mnavyotaarabika na matanganian yanavyofanana nyote wawili. Dubai ni utumwani? Hujui kitu mtanga wewe.
Kwani sisi tunaishi dubai , hauna kwenu?
Nchi yetu hii , mtaondoka wote na kuwaachia waliopambania uhuru wakeKwetu ni wapi? Kwetu ni kule ninakoishi. Samia anaishi Bara ni kwao?
Anashangaza mno!Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.
Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena. Msitake awe na kitu ambacho hana.
Mkuu tufahamishe, ametokea wapi na amepitia hali gani?Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.
Lete buyu hilo sasa la asali tulilambe wote. Mnatamba naye peke yenu tu kwa sababu amewaachia mabuyu yaliyojaa asali.Unaishi mafichoni ,tena utumwani , sisi tunatamba naye .
Akizidiwa na makelele yetu awasingizie washauri wake walimshauri vibaya.Hapaswi kukosa visingizio kwenye mkoba anaotunzia kungu zake anazotafuna njiani.Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.
Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena. Msitake awe na kitu ambacho hana.