Rais Samia anachekesha kama si mtu wako wa karibu

Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.

Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena. Msitake awe na kitu ambacho hana.
Ungetuambia ni kipi anachochekesha
 
Popoma la JF limerudi kwa kasi ya 5G au ndio GENTERMICENE second generation? 🤔🤒

Wenzio wanapotafuta wanaume wanapiga mswaki, wanajiosha na kujipulizia utuli. Wewe unakuja kama ulivyo? Halafu uanze sema sisi wanaume wabaya hatukutaki... Mwishowe unajenga tu chuki kwetu. Kama hivi.
 
Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.

Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena. Msitake awe na kitu ambacho hana.
Hata mimi nawaza kwa sauti, kujiuliza mkwamo mkubwa unaotengenezwa. We need to do alot men
 
Hata machawa wanachekesha ikiwa hufaidiki kupitia wao
 
Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.

Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena. Msitake awe na kitu ambacho hana.
Duh 🙄 !
Chizi Maarifa ! 😁
 
Code ya Chizi Maarifa inataka ufikiri sana kwa utulivu ndio LABDA unaweza kumuelewa vizuri alicho kikusudia 😳 !
 
Nimekuelewa. Shida tunataka mwenye IQ ndogo awe na IQ kubwa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom