Ungetuambia ni kipi anachochekeshaNyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.
Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena. Msitake awe na kitu ambacho hana.
Hata kutumia simu zetu kuandika tutakacho baada ya kuvimbiwa ugali wa muhogo na mapanki napo tunapangiwa?Fanyeni kazi acheni malalamiko, hamna mtu atakuletea chakula nyumbani kwako.
Natamani vyuo vyetu vya afya vichunguze watu design yako mna nini kichwani. Si kawaida kua kichwa wazi hivi, kheri robotiUnaishi mafichoni ,tena utumwani , sisi tunatamba naye .
But hata common sense tu huwa zinasaidia sasa unakuta mtu hata common sense hanaExposure ndio shida kubwa.
Popoma la JF limerudi kwa kasi ya 5G au ndio GENTERMICENE second generation? π€π€
Hata mimi nawaza kwa sauti, kujiuliza mkwamo mkubwa unaotengenezwa. We need to do alot menNyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.
Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena. Msitake awe na kitu ambacho hana.
Ndege wafananao huruka pamoja.Unaishi mafichoni ,tena utumwani , sisi tunatamba naye .
Sami weye ....!!Nasikiliza zangu jay melody-mtoto πΆπ§
Duh π !Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.
Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena. Msitake awe na kitu ambacho hana.