Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwa akili zako unadhani safari ya rais inapangwa ndani ya nusu saa tu. ?
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Sasa kibinadamu angekuwepo tungefufuka?Mwanae angekuwepo humo ungejibu haya au angejibu hivyo? Hakuna kisichoahirishwa labda kilichopangwa na Mungu ila kupangwa na Mwanadamu kinaahirishwa inatemegea na kipi ni mhimu kwako kwa wakati huo. yeye kwake kwenda Brazil ilikuwa muhimu kuliko watanzania ndani ya kifusi
Kuna watu katika awamu hii ya Samia mmechagua kuishi kwa hasira na chuki kubwa sana, poleni kwa ujumla.Lakini Mheshimiwa hakutakiwa kudanganya kwamba alikuwa amesafiri, wakati alikuwepo nchini. Kwamba alipaswa kubakia nchini, au kuendelea na safari, huo ni mjadala tofauti.
Wakati mwingine hizi siasa za maji taka hovyo sana kwa hiyo ulitaka aharishe safari kwa ajili ya jengo moja lililodondoka Kariakoo? kwa safari yenye maslahi mapana ya nchi, watendaji waliobaki wamefanya kazi kubwa ya kutukuka kwa kujali ndg zetu waliofikiwa na janga hili baya kabisa, au ulitaka mama abaki ili unyonye nyonyo?
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Hata mimi nimeshangaa kwanini ameamua kudanganya. Na kama anadanganya kwenye jambo la wazi kama hilo tutamuaminije kwenye mengine makubwa? Lakini wanaoshangaza zaidi ni wale ambao wanaona hapa kuna uongo, lakini wanajilazimisha kuwa hakuna uongo wowote.Kuna watu katika awamu hii ya Samia mmechagua kuishi kwa hasira na chuki kubwa sana, poleni kwa ujumla.
Adanganye ili apate nini haswa?. Unajua ni mangapi makubwa anayoyafanya muda huu nchi nzima?.
Sasa alikuwa na haja gani kudanganya?Wakati mwingine hizi siasa za maji taka hovyo sana kwa hiyo ulitaka aharishe safari kwa ajili ya jengo moja lililodondoka Kariakoo? kwa safari yenye maslahi mapana ya nchi, watendaji waliobaki wamefanya kazi kubwa ya kutukuka kwa kujali ndg zetu waliofikiwa na janga hili baya kabisa, au ulitaka mama abaki ili unyonye nyonyo?
Mkuu, kwa records za 16 November 2024 kutoka flight radar inaonesha ndege aina ya B788 air Tanzania iliondoka Dar es Salaam Tanzania mnamo saa 10:12 am ( saa nne na dakika kumi na mbili asubuhi) kuelekea Rio de Janeiro, Brazil.
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Safari huwa zinakatishwa, hiyo iko worldwide kwani kiongozi anapaswa kuonyesha kuwa yuko pamoja na wananchi(physically).Kuwa tayar safarin ina maana ya maandaliz a Safar kukamilika .
Je Una uhakika gani kwamba muda post ya kuagana na viongozi ilipotelewa ndio muda huo huo tukio la kuagana lilifanyika?
Hawezi kudanganya rais wa nchi kwenye suala nyeti kama hili. Wakati jengo linaanguka jumamosi asubuhi yeye alikuwa huko Brazil tayari.Hata mimi nimeshangaa kwanini ameamua kudanganya. Na kama anadanganya kwenye jambo la wazi kama hilo tutamuaminije kwenye mengine makubwa? Lakini wanaoshangaza zaidi ni wale ambao wanaona hapa kuna uongo, lakini wanajilazimisha kuwa hakuna uongo wowote.
Rais anao msururu wa wasaidizi kuanzia wakuu wa mikoa, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, mawaziri na usalama wa taifa pia upo chini yake.Safari huwa zinakatishwa, hiyo iko worldwide kwani kiongozi anapaswa kuonyesha kuwa yuko pamoja na wananchi(physically).
Anyway hauwezi kumlazimisha kwani inawezekana kwake hilo halikuwa jambo muhimu.
Kwahiyo kwa sababu ni Muislam, mwanamke & Mzanzibar basi akiboronga watu wasiseme? Kwa maelezo yako it's obvious nawe unamtetea kwa sababu ya Uzanzibari, Uislamu na kwa kuwa ni mwanamke.Ni chuki tu za udini, kila wakipata nafasi hata ndogo wao ni kumtusi rais tu, ukiwauliza ni nini utasikia ooh mzanzibari, ooh muislam, oooh mwanamke
Shiiida kweli kweli
Safari huwa zinaahirishwa au huwa zinakatishwa, issue ni jinsi kiongozi wa nchi anavyoipa umuhimu tragedy husika. Abdul angekuwemo kwenye kifusi hata kama huyo mama yenu angekuwa yuko angani ungefanyika utaratibu ipigwe U-turn ya dharura.Kwa akili zako unadhani safari ya rais inapangwa ndani ya nusu saa tu. ?
Kwani hata kama asingesafiri au kukatiza safari ya muhimu ndio angezuia Jengo kubomoka?
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
CCM ni baba wa uongo.