Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

Kwanza kabisa napenda kumshukuru ndugu rais kwa kuondoka na kurejea salama. Namshukuru pia kwa yaliyotokea kariakoo na kumpongeza sana. Mitano tena
 
Kiroho alikuwa Brazil kimwili akawa bongo. Akashindwa kufanya maamuzi sahihi.
 
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?

Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.

View attachment 3156964

Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Kwa akili zako unadhani safari ya rais inapangwa ndani ya nusu saa tu. ?
 
Mwanae angekuwepo humo ungejibu haya au angejibu hivyo? Hakuna kisichoahirishwa labda kilichopangwa na Mungu ila kupangwa na Mwanadamu kinaahirishwa inatemegea na kipi ni mhimu kwako kwa wakati huo. yeye kwake kwenda Brazil ilikuwa muhimu kuliko watanzania ndani ya kifusi
Sasa kibinadamu angekuwepo tungefufuka?

Mimi nilishapata msiba wa Karibu sana na milikwenda kwanza kwa mwajiri na kufanya makabidhiano ya kazi kwa siku nzima na kesho yake ndio nikafika nyumbani

Sikufa, sikufanya marehemu afufuke wala sikusimamisha msiba
 
Lakini Mheshimiwa hakutakiwa kudanganya kwamba alikuwa amesafiri, wakati alikuwepo nchini. Kwamba alipaswa kubakia nchini, au kuendelea na safari, huo ni mjadala tofauti.
Kuna watu katika awamu hii ya Samia mmechagua kuishi kwa hasira na chuki kubwa sana, poleni kwa ujumla.

Adanganye ili apate nini haswa?. Unajua ni mangapi makubwa anayoyafanya muda huu nchi nzima?.
 
Inawezekana bila uwepo wa Rais Samia Suluhu Hassan, mkutano huo wa Brazil inge lazimu uahirishwe; jambo ambalo lisinge faa lifanyike!

Na pengine, hata kama inge lazimu achelewe kidogo kuondoka baada ya kutembelea eneo la janga na kutoa maelekezo, hilo nalo lisinge wezekana.

Sasa swali, ni kwa nini asieleze tu ukweli huo badala ya kusema uongo kama unavyo eleza wewe, mleta mada.

Watu walio zoea kusema uongo, mara nyingi huwaona watu wengine kuwa hawana akili za kutambua uongo unaposemwa na mtu mwongo.
 
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?

Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.

View attachment 3156964

Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Wakati mwingine hizi siasa za maji taka hovyo sana kwa hiyo ulitaka aharishe safari kwa ajili ya jengo moja lililodondoka Kariakoo? kwa safari yenye maslahi mapana ya nchi, watendaji waliobaki wamefanya kazi kubwa ya kutukuka kwa kujali ndg zetu waliofikiwa na janga hili baya kabisa, au ulitaka mama abaki ili unyonye nyonyo?
 
Kuna watu katika awamu hii ya Samia mmechagua kuishi kwa hasira na chuki kubwa sana, poleni kwa ujumla.

Adanganye ili apate nini haswa?. Unajua ni mangapi makubwa anayoyafanya muda huu nchi nzima?.
Hata mimi nimeshangaa kwanini ameamua kudanganya. Na kama anadanganya kwenye jambo la wazi kama hilo tutamuaminije kwenye mengine makubwa? Lakini wanaoshangaza zaidi ni wale ambao wanaona hapa kuna uongo, lakini wanajilazimisha kuwa hakuna uongo wowote.
 
Wakati mwingine hizi siasa za maji taka hovyo sana kwa hiyo ulitaka aharishe safari kwa ajili ya jengo moja lililodondoka Kariakoo? kwa safari yenye maslahi mapana ya nchi, watendaji waliobaki wamefanya kazi kubwa ya kutukuka kwa kujali ndg zetu waliofikiwa na janga hili baya kabisa, au ulitaka mama abaki ili unyonye nyonyo?
Sasa alikuwa na haja gani kudanganya?
 
Rais Wetu Mpendwa Wa JMT
Amekwenda Kutafuta Chochote Huko Duniani
 
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?

Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.

View attachment 3156964

Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Mkuu, kwa records za 16 November 2024 kutoka flight radar inaonesha ndege aina ya B788 air Tanzania iliondoka Dar es Salaam Tanzania mnamo saa 10:12 am ( saa nne na dakika kumi na mbili asubuhi) kuelekea Rio de Janeiro, Brazil.
Screenshot_20241120_173857_Flightradar24.jpg
 
Safari za viongozi wakubwa zinapangwa wiki 1 na zaidi usidhani siku ya kupanda ndege ndio ilikua siku ya safari. Hizi safari za aina hiyo ni za kwetu sisi masikini
 
Siasa tu ila mi sioni umuhimu wa uwepo wake hapa nchini kwenye janga kama lile, maagizo yake yanatekelezwa popote alipo, ana wasaidizi chungu nzima.
 
Kuwa tayar safarin ina maana ya maandaliz a Safar kukamilika .

Je Una uhakika gani kwamba muda post ya kuagana na viongozi ilipotelewa ndio muda huo huo tukio la kuagana lilifanyika?
Safari huwa zinakatishwa, hiyo iko worldwide kwani kiongozi anapaswa kuonyesha kuwa yuko pamoja na wananchi(physically).
Anyway hauwezi kumlazimisha kwani inawezekana kwake hilo halikuwa jambo muhimu.
 
Hata mimi nimeshangaa kwanini ameamua kudanganya. Na kama anadanganya kwenye jambo la wazi kama hilo tutamuaminije kwenye mengine makubwa? Lakini wanaoshangaza zaidi ni wale ambao wanaona hapa kuna uongo, lakini wanajilazimisha kuwa hakuna uongo wowote.
Hawezi kudanganya rais wa nchi kwenye suala nyeti kama hili. Wakati jengo linaanguka jumamosi asubuhi yeye alikuwa huko Brazil tayari.

Tuna watu wajinga sana mitandaoni humu.
 
Safari huwa zinakatishwa, hiyo iko worldwide kwani kiongozi anapaswa kuonyesha kuwa yuko pamoja na wananchi(physically).
Anyway hauwezi kumlazimisha kwani inawezekana kwake hilo halikuwa jambo muhimu.
Rais anao msururu wa wasaidizi kuanzia wakuu wa mikoa, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, mawaziri na usalama wa taifa pia upo chini yake.
 
Ni chuki tu za udini, kila wakipata nafasi hata ndogo wao ni kumtusi rais tu, ukiwauliza ni nini utasikia ooh mzanzibari, ooh muislam, oooh mwanamke
Shiiida kweli kweli
Kwahiyo kwa sababu ni Muislam, mwanamke & Mzanzibar basi akiboronga watu wasiseme? Kwa maelezo yako it's obvious nawe unamtetea kwa sababu ya Uzanzibari, Uislamu na kwa kuwa ni mwanamke.
 
Kwa akili zako unadhani safari ya rais inapangwa ndani ya nusu saa tu. ?
Safari huwa zinaahirishwa au huwa zinakatishwa, issue ni jinsi kiongozi wa nchi anavyoipa umuhimu tragedy husika. Abdul angekuwemo kwenye kifusi hata kama huyo mama yenu angekuwa yuko angani ungefanyika utaratibu ipigwe U-turn ya dharura.
 
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?

Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.

View attachment 3156964

Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Kwani hata kama asingesafiri au kukatiza safari ya muhimu ndio angezuia Jengo kubomoka?

Huyo Sasa karudi Jengo limesimama?

Acheni ujinga basi,ajali ya Jengo Moja haiwezi ku paralyse shughuli za serikali.

Mwisho Kuna yule mwingine alikuwa haendi hata kuwaona wahanga na akienda ni kejeli Mwanzo mwisho.

View: https://x.com/swahilitimes/status/1859234678449779092?t=g8qXMymBYkrAJJEwOlZlCg&s=19
 
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?

Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.

View attachment 3156964

Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
CCM ni baba wa uongo.
Kwa sisi Wakristo,baba wa uongo tumeambiwa ni shetani.
Kwa hiyo CCM ndiye .....
 
Back
Top Bottom