Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

Katiba yetu mbovu sana.

Huyu si Rais wa kuchaguliwa kwa kura za Watanzania bali ni Rais aliyetokana na katiba yenye kulalamikiwa na watanzania walio wengi.
 
Imefika mahali nimegundua kuna watu alionao hawamtakii mema na wanatumia kila upenyo kumharibia
 
Kuchamba kwingi utashika m.....😁
 
Kwani angeahirisha Safari angeokoa Nini? Rais hakwepo Ila waliokwepo walitekeleza yote yaliyostahili, acheni kumchafua Rais
 
Rais amesoma prepared statement ambayo imemwambia kwamba tukio lilipotokea alikuwa Rio de Janeiro.
Rais kasoma kama ilivyoandikwa.
Who can argue with that?
 
Nyie siku zote mna inferiority complex. Huwa hamtaki kukosolewa. Hilo tunalifahamu si geni. Nadhani ni kukosa Elimu na uelewa. Mtu akikosolewa mnakimbilia kwenye Dini. Waulize wenzie akina nani walikuwa wanamkosoa Magufuli na mpaka wanakamatwa kama hujaambiwa nitakuambia. Wakristo huwa hawana unafiq. Nyie wanafiq sana na wengi ni maamuma. Hiyo ndo shida yenu. Hata mtu akiwa kilaza as long as ni dini yenu mna mbeba na wengine wenye akili wakikosoa mnakimbilia kusema ni sababu ya dini. Ni ukilaza tu unawasumbua.😁
 
Then what? Unataka nini kwa mfano. Rais alikuwa safarini Brazil, na kawaida ya waswahili, mtu kuwa safarini ni pale anapodhamiria kusafiri na akaanza mchakato wa safari, akaenda mpk ataporejea hapo ndio anamalizia kuitwa msafiri. Kwaiyo Mama alikuwa sahihi kwamba siku ya Tukio alikuwa safarini nchini Brazil. Hakusema kama alikuwa nchini Brazil, bali alikuwa safarini. Hicho ndio kiswahili.

Kafanye Kampeni huko kama mgombea wako hajaenguliwa.
 
Moyo na roho yake tayari vilikuwa Brazili si unajua safari za nje zinavyorusha roho.
 
Ulitaka aende kwenye uokozi? Rais ni taasisi ht km alikuwa nje akitimiza wajibu wake km mkuu wa nchi. Kitengo cha maafa iko chini ya waziri mkuu na mara nyingi alikuwa eneo la tukio.
 
Watasema mchana eeehh usiku watalala, wacha wacha waseme.... Kidindidikidi dindii, vitu... Vitu, emmamaa longaaaa.

Kelele za chura
 
Watanzania siyo wajinga.

Unaweza kuwadanganya watu kwa muda lakini hauwezi kuwadanganya kwa muda wote.

Mitano tena kwa Mama Kizimkazi na hapa ipo.
 
Maendeleo ya kujaza mabango barabarani nchi nzima na kuzalisha machawa kila kona? Ndio aniletee mimi acha ujinga
Mkuu kuna watu umu nafikili IQ zao ndogo sana mtu hajui kama uyo kiongozi tunamlipa kwa kodi zetu sisi na inatakiwa afuate sisi tunataka nini kwa wakati upi
 
Labda huwa wanatanguliza rohoinakwenda ndipo miili inafuata na ndege
 
Alikuwa "Airborne" tayari kuanzia saa nne.
 
Alikuwa hajaondoka kimwili ila kiakili alikuwa safarini tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…