Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imefika mahali nimegundua kuna watu alionao hawamtakii mema na wanatumia kila upenyo kumharibia
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Kuchamba kwingi utashika m.....😁

Msiba ungemhusu direct angeondoka?Kwani angeahirisha Safari angeokoa Nini? Rais hakwepo Ila waliokwepo walitekeleza yote yaliyostahili, acheni kumchafua Rais
oya zima data ulaleHawezi kudanganya rais wa nchi kwenye suala nyeti kama hili. Wakati jengo linaanguka jumamosi asubuhi yeye alikuwa huko Brazil tayari.
Tuna watu wajinga sana mitandaoni humu.
Nyie siku zote mna inferiority complex. Huwa hamtaki kukosolewa. Hilo tunalifahamu si geni. Nadhani ni kukosa Elimu na uelewa. Mtu akikosolewa mnakimbilia kwenye Dini. Waulize wenzie akina nani walikuwa wanamkosoa Magufuli na mpaka wanakamatwa kama hujaambiwa nitakuambia. Wakristo huwa hawana unafiq. Nyie wanafiq sana na wengi ni maamuma. Hiyo ndo shida yenu. Hata mtu akiwa kilaza as long as ni dini yenu mna mbeba na wengine wenye akili wakikosoa mnakimbilia kusema ni sababu ya dini. Ni ukilaza tu unawasumbua.😁Uwongo mkubwa, hakuna mkiristo alimkosoa magufuli kwa style wanavyomkosoa mama,
Ukweli unauma sana, hampendi kabisa, yaani mnafikiri hii ni inchi ya wakristo tu?
nyerere, mkapa na magufuli wametawala vibaya kupita kiasi, inchi mikononi mwao ilikuwa kama jehanamu lakini wamesifiwa na kupambwa kama hakuna baya,
kinyme chake sasa, almarhum Mwinyi, kikwete na hata Samia tunaona inchi na wananchi walivyo na wanavyoneemeka lakini bado hamkosi baya la kuwabandika
Ni chuki tu, lakini zinaisha kwa kunywa panadol tu
🤣 🤣 🤣Hakuwa hata na haja ya kujieleza....
Bado hajagundua kuwa inabidi afanye tu kazi zake,sisi watanzania hatotuweza
Then what? Unataka nini kwa mfano. Rais alikuwa safarini Brazil, na kawaida ya waswahili, mtu kuwa safarini ni pale anapodhamiria kusafiri na akaanza mchakato wa safari, akaenda mpk ataporejea hapo ndio anamalizia kuitwa msafiri. Kwaiyo Mama alikuwa sahihi kwamba siku ya Tukio alikuwa safarini nchini Brazil. Hakusema kama alikuwa nchini Brazil, bali alikuwa safarini. Hicho ndio kiswahili.
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Moyo na roho yake tayari vilikuwa Brazili si unajua safari za nje zinavyorusha roho.

Ulitaka aende kwenye uokozi? Rais ni taasisi ht km alikuwa nje akitimiza wajibu wake km mkuu wa nchi. Kitengo cha maafa iko chini ya waziri mkuu na mara nyingi alikuwa eneo la tukio.
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Mkuu kuna watu umu nafikili IQ zao ndogo sana mtu hajui kama uyo kiongozi tunamlipa kwa kodi zetu sisi na inatakiwa afuate sisi tunataka nini kwa wakati upiMaendeleo ya kujaza mabango barabarani nchi nzima na kuzalisha machawa kila kona? Ndio aniletee mimi acha ujinga
Labda huwa wanatanguliza rohoinakwenda ndipo miili inafuata na ndegeNachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Alikuwa "Airborne" tayari kuanzia saa nne.
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Alikuwa hajaondoka kimwili ila kiakili alikuwa safarini tayari