Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

Kwani uwongo? Hamuifanyi na kuiendesha inchi hii kikiristo?

Wimbo wa taifa ni wa kwaya, mapumziko ya mwisho wa wiki ni siku za ibada za wakristo, (kwanini isiwe ijumaa?), waislam wametaka mahakama ya kadhi nyie wakristo ndio mumeipinga nk nk nk nk
Yapo mengi tu,
Hii inchi inabidi waislamu wajipange na wadai haki na uhuru wao kutoka kwa wakristo, na dalili inaonyesha hilo linakuja sio mda mrefu
 
Elewa maana ya neno โ€œsafariniโ€ haliko direct Kama unavyowaza wewe, mfano: Mimi nina Visa ya kwenda USA, nina ticket ya February, nipo Tanzania, naweza sema nipo safarini na tukiingia kwenye ubishani nikakushinda
 
1. Andika wimbo wa taifa wa kaswida
2. Unaweza amua kupumzika Ijumaa hukatazwi kisha ukafanya kazi Jumamosi na Jumapili
3. Mahakama ya kadhi hamjakatazwa.mmeambiwa mjilipie wenyewe hamtaki.si ubwege huo?yaani unataka mahakama kisha unataka ulipiwe na makafiri. We una akili?

Hakuna sehemu Duniani Waisilamu wana Uhuru. Sababu kifungo chao kipo kwenye akili. So kila mahala wanaamini wanaonewa. Ni inferiority complex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ