Rais Samia anadanganywa sana. Anapanga safu ya mstaafu bila kujua

Rais Samia anadanganywa sana. Anapanga safu ya mstaafu bila kujua

omtiti

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
1,021
Reaction score
1,591
Ukiangalia mabadiliko aliyoyafanya ya baraza la mawaziri na makatibu wakuu wa wizara amefanya kwa kudanganywa.

Si kweli kwa maoni yangu kwamba Proffesor Palamagamba, William Lukuvi, Goefrey Mwambe, Kitlya Mkumbo, na Mwita Waitara ndio tishio na wanajipanga kwa urais 2025.

Kwanza kuutamani urais si dhambi hata yeye ni mmoja Kati ya wanaoutamani urais kuendelea nao siku zijazo (kanogewa)

Tujiulize, hivi kuna vijana wanaoutamani urais kuliko January Makamba ,Mwigulu Nchemba na Ridhiwani kikwete?

Rais ameingizwa chaka, katoa wasaidizi muhimu, na kaingiza kundi lenye uchu wa madaraka litamsumbua sana huko mbeleni.

Kundi hilo wanahakikisha kila wanaemuona ni kikwazo kwao, humdanganya Rais Samia ya kuwa anahujumiwa ili njia iwe nyepesi kwao.
Hebu tuone haya mabadiliko yaliofanywa na Jakaya Kikwete kama ya na maslahi kwa taifa ,muda utaongea soon
 
Kama anadanganywa vitu vidogo kama hivyo basi hajielewi kabisa. Huyo Makamba hapo atajipendekeza haswa ili angalau kama sio 2025 basi 2030 aachiwe japo bado sidhani kama ataupata labda abadilishe jina na dini.
 
Tulia msumari wa moto ukuingie. Ulitaka wawekwe watu wako au? La muhimu ni kuwa na mawaziri wasio makatili.
 
Kama anadanganywa vitu vidogo kama hivyo basi hajielewi kabisa. Huyo Makamba hapo atajipendekeza haswa ili angalau kama sio 2025 basi 2030 aachiwe japo bado sidhani kama ataupata labda abadilishe jina na dini.
Hii Maaskofu na wakristo wakomalie

Magufuli alikuwa Mkristo akafuata Samia Mwislamu, so after Samia anayetakiwa kufuata awe Mkristo

Ili muhuni mmoja January Yusufu Makamba abaki kuusikia uraisi
 
Wee haya mambo ni ya hatari, Mwigulu Nchemba alijiandika nchi nzima kwamba yeye angekuwa rais 2015.

January a.k.a Njaakali yeye anakiu mno ya urais kuliko mtu mwingine yeyote
Hii imekaa vipi. Alisema atapanga upya ili wale wenye nia wapate nafasi je, ina maana ndio hao waliopumzishwa
 
Huyu Mama badala ya kutengeneza mfumo wake, lakni yupo kumjengea mtu fulani, hatoamini macho yake 2025.

Mwenye kujua elimu ya Rais wetu tunaomba atuwekee pia, maana kuna vitu vinafanyika hadi unajiuliza zile briefing anazopelekewa kila siku anazipitia kweli?

Sijaulizia ELIMU yake kwa bahati mbaya?
 
IMG-20220109-WA0010.jpg

mama ni mzoefu mwacheni apange safu ambayo anaona anaweza kwenda nayo.
 
Huyu Mama badala ya kutengeneza mfumo wake yupo kumjenga mtu fulani, hatoamini macho yake 2025.
Sheikh Yahaya alitabiri 2025 upinzani unachukua nchi ,upinzani wenyewe utatoka ndani ya wanaccm wenyewe
 
Back
Top Bottom