Rais Samia anadanganywa sana. Anapanga safu ya mstaafu bila kujua

Rais Samia anadanganywa sana. Anapanga safu ya mstaafu bila kujua

MKOA WA PWANI una MAWAZIRI 5 katika Baraza jipya.
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze

2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji

3. Jafo Mbunge wa Kisarawe

4. Kipanga Mbunge wa Mafia

5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga

Msoga Oyeeee
Kama hivyo ndivyo,haijakaa vizuri
 
Tusiongee sana kuhusu hili, watu wanajipanga kimyakimya mwishoni mwaka 2024 tutashuhudia mengi sana.

Kama unafahamu elimu ya Mama yetu huyu naomba uweke hapa boss, maana kuna vitu vinatendeka hadi unajiuliza why this?
Wewe mwenye elimu ya uprofessa umeifanyia nini nchi yako ? Rais anapanga safu yake vile namna inamfaa , mawazo yake si yako. Wewe dai matokeo sio kupangia namna gani afanye kazi. Akiona team msoga itamsaidia kufikia Lengo sawaa.

Unamchukiliaje kwa mfano ? Nyie ndio mnaomuangalia jinsi alivyo na kumjaribu, kashawaambia hajaribiwi.
 
Wewe chawa wa mama kulakula vya mwisho, nchi kupewa mtu ambaye kila kitu anacholetewa anashindwa kuhoji ni hatari tu. Viatu ni vikubwa sana kwake.
 
MKOA WA PWANI una MAWAZIRI 5 katika Baraza jipya.
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze

2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji

3. Jafo Mbunge wa Kisarawe

4. Kipanga Mbunge wa Mafia

5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga

Msoga Oyeeee
Shida iko wapi Sasa ? Mnaibua hoja na Uzushii tu usio na kichwa Wala miguu
 
Wewe chawa wa mama kulakula vya mwisho, nchi kupewa mtu ambaye kila kitu anacholetewa anashindwa kuhoji ni hatari tu. Viatu ni vikubwa sana kwake.
Ongoza basi wewe . Nenda kawe rais basi Sasa hivi ,wewe viatu vitakutosha. Ujingaa tuu.

Huna hiyo karama Wala hiyo bahati ndio maana hujawa.

Hivi unamchukiliaje mama wakuja eeh yuko kitambo Kwenye system anachokifanya anakijua msilete ujuaji. Ungekua mjuaji sana ungekua wewe ikulu saa hizi
 
Unazungumza kirahisi sana! Siyo sahihi kabisa,nchi ina Rais na Amiri Jeshi Mkuu mwenye full power kikatiba halafu unasema Baraza la Mawaziri la Rais mstaafu Mzee Kikwete? Tafadhali!

Hivi mfumo unaongoza dola uko rahisi kihivyo upate amri na maelekezo kutoka kwa Rais mstaafu? Huu siyo Uhuru wa maoni. Hamjui tu maandishi kama haya ya upotoshaji yanasambaza sumu kali sana mitaani kwa watu wasiojua kuchuja habari.
Lengo lao kuu ni kusambaza hiyo sumu ili mama aache watu competent, achague makundi yao ya kiboya. Mama anawajua aliwaambia kazi iendelee. Na wao waendelee na uzushi wao.
 
Lengo lao kuu ni kusambaza hiyo sumu ili mama aache watu competent, achague makundi yao ya kiboya. Mama anawajua aliwaambia kazi iendelee. Na wao waendelee na uzushi wao.
Hivi Ridhiwani na Nape ni watu competent kuliko Lukuvi na Kabudi ?,are seriously ?
 
Hivi Ridhiwani na Nape ni watu competent kuliko Lukuvi na Kabudi ?,are seriously ?
Inawezekana wasiwe competent kuzidi hao ila wakaweza kuperfom na kudeliver kinachotakiwa.

watu wenye hila ndani yao hata Wakiwa competent hawafai watakufelisha kwa makusudi, sasa Bora nini ?
Hapo Nimesema tu Kama mfano haina uhusiano na kuachwa kwao Kwenye baraza.
 
Lengo lao kuu ni kusambaza hiyo sumu ili mama aache watu competent, achague makundi yao ya kiboya. Mama anawajua aliwaambia kazi iendelee. Na wao waendelee na uzushi wao.
Basi wafanye siasa zao bila kujenga chuki ktk nchi na kumchafua Rais. Haipendezi kabisa.
 
Punguza majungu kijana;
Doto biteko,mbarawa,Bashe ,jafo,ndalichako,gwajima and so on Hawa Ni safu ya JK?!
Acheni Mama atutumikie Basi?!
Ukiangalia mabadiliko aliyoyafanya ya baraza la mawaziri na makatibu wakuu wa wizara amefanya kwa kudanganywa .
Si kweli kwa maoni yangu kwamba proffessor Palamagamba ,Willium Lukuvi,Goefrey Mwambe,Kitlya Mkumbo,na Mwita Waitara ndio tishio na wanajipanga kwa urais 2025.
Kwanza kuutamani urais si dhambi .hata yeye ni mmoja Kati ya wanaoutamani urais kuendelea nao siku zijazo (kanogewa)

Tujiulize ,hivi kuna vijana wanaoutamani urais kuliko January Makamba ,Mwigulu Nchemba na Ridhiwani kikwete?

Rais ameingizwa chaka ,katoa wasaidizi muhimu ,na kaingiza kundi lenye uchu wa madaraka litamsumbua sana huko mbeleni.

Kundi hilo wanahakikisha kila wanaemuona ni kikwazo kwao, humdanganya rais Samia ya kuwa anahujumiwa ili njia iwe nyepesi kwao.
Hebu tuone haya mabadiliko yaliofanywa na Jakaya Kikwete kama ya na maslahi kwa taifa ,muda utaongea so
 
Yeye hapendi watu wenye misimamo, anataka watu walegevu ambao watskuwa wakimpigia magoti kila muda.
Jiwe alitaka watu wa aina gani?
1641757135051.png
 
Mtoe Ridhiwani , Mtoe Mwigulu wapo tayali kuvumilia mpaka 2030 ingawa sidhani kama Ridhiwani ameweka uraisi kichwani atakua anachekesha

Shida ipo January Kigogo mama kadanganywa
 
Hii Maaskofu na wakristo wakomalie

Magufuli alikuwa Mkristo akafuata Samia Mwislamu, so after Samia anayetakiwa kufuata awe Mkristo

Ili muhuni mmoja January Yusufu Makamba abaki kuusikia uraisi

Kwa anavyotamani kua Raisi atabadilisha dini kwa Kua mama na mke wake ni Christians
 
Huyu Mama badala ya kutengeneza mfumo wake, lakni yupo kumjengea mtu fulani, hatoamini macho yake 2025.

Mwenye kujua elimu ya Rais wetu tunaomba atuwekee pia, maana kuna vitu vinafanyika hadi unajiuliza zile briefing anazopelekewa kila siku anazipitia kweli?

Sijaulizia ELIMU yake kwa bahati mbaya?
Chizi wewe,unauliza elimu ya Rais,ungeuliza kipindi kile elimu ya msukuma mwenzio dikteta
 
Chizi wewe,unauliza elimu ya Rais,ungeuliza kipindi kile elimu ya msukuma mwenzio dikteta
Chizi ni mama yako ambaye anashinda njaa ilihali wewe unalamba matako ya uvccm mjini ili upate mkate wa kila siku
 
Back
Top Bottom