Rais Samia anadanganywa sana. Anapanga safu ya mstaafu bila kujua

Rais Samia anadanganywa sana. Anapanga safu ya mstaafu bila kujua

Samia hajawahi kufanya mabadiliko yenye maslahi kwa taifa bali kwa mafisadi na kwa jinsi alivyo mbaya atadumu sana huyu na hatuna ujanja
Hao aliowaondoa ni wachapa kazi kizalendo jambo ambalo halimpendezi Msoga na kwa jinsi Samia alivyo na nia mbaya basi atadumu sana mpaka nchi iharibike kabisa
Hatuna upinzani credible TZ itachukua miaka 50 au zaidi CCM kutoweka
Hongera kwa kususa!
 
Roho ya ubinadamu ni kuruhusu ufisadi au siyo?!
Sasa ni wepi hawakufanya ufisadi? Umekaririshwa ukajaa mzima. Acheni waongoze nao ni watanzania. Ukiulizwa utaje Makamba au Nape wamefisidi nini unaweza? Neno ufisadi ni kichaka mlichotumia kuwabagua wenzenu ili tu muendelee kufyonza keki ya Taifa peke yenu. Kubalini mwisho wa enzi zenu umefika kikomo.
 
Tulia ndugu, nawe zamu yako itafika. Ulitaka wateuliwe ndugu zako au? La muhimu asilimia kubwa ya walioteuliwa wana roho ya ubinadamu.
Eti Ridwan jamani tumekisha yamerudi yaleyale sijui lini tutakuwa na akili ya kukumbuka yaliyopita , duhhh hatari.
 
Bro,natamani tukutane nje ya hapa jf,tupigane bila sababu ukinishinda nitarudi nyumbani. Lengo nikupige hata ngumi moja nizitoe hizi hasira nilizonazo. Mjinga we we. Niko bukene tabora. Uko wapi nije?
Hahaha! Dogo huu mchezo hautaki hasira. Huwezi kuhimili hoja, hama jukwaa. Pole lakini, ndio imeshakuwa sasa.
 
Ukiangalia mabadiliko aliyoyafanya ya baraza la mawaziri na makatibu wakuu wa wizara amefanya kwa kudanganywa.

Si kweli kwa maoni yangu kwamba Proffesor Palamagamba, William Lukuvi, Goefrey Mwambe, Kitlya Mkumbo, na Mwita Waitara ndio tishio na wanajipanga kwa urais 2025.

Kwanza kuutamani urais si dhambi hata yeye ni mmoja Kati ya wanaoutamani urais kuendelea nao siku zijazo (kanogewa)

Tujiulize, hivi kuna vijana wanaoutamani urais kuliko January Makamba ,Mwigulu Nchemba na Ridhiwani kikwete?

Rais ameingizwa chaka, katoa wasaidizi muhimu, na kaingiza kundi lenye uchu wa madaraka litamsumbua sana huko mbeleni.

Kundi hilo wanahakikisha kila wanaemuona ni kikwazo kwao, humdanganya Rais Samia ya kuwa anahujumiwa ili njia iwe nyepesi kwao.
Hebu tuone haya mabadiliko yaliofanywa na Jakaya Kikwete kama ya na maslahi kwa taifa ,muda utaongea soon
Hata yeye anazuga kugombea urais 2025, atakaye gombea ni January junior. Ila anaweza kumuunganisha pamoja na Madelu ili Madelu aje agombee 2035.
 
Samia hajawahi kufanya mabadiliko yenye maslahi kwa taifa bali kwa mafisadi na kwa jinsi alivyo mbaya atadumu sana huyu na hatuna ujanja
Hao aliowaondoa ni wachapa kazi kizalendo jambo ambalo halimpendezi Msoga na kwa jinsi Samia alivyo na nia mbaya basi atadumu sana mpaka nchi iharibike kabisa
Hatuna upinzani credible TZ itachukua miaka 50 au zaidi CCM kutoweka
Acha kulialia shika usukani waTz wakufuate. Si lazima upinzani huu unaoutambua. Hata wewe ongoza upinzani dhidi ya ccm .

Hili ni jukumu la waTz wote including you
 
Ukiangalia mabadiliko aliyoyafanya ya baraza la mawaziri na makatibu wakuu wa wizara amefanya kwa kudanganywa.

Si kweli kwa maoni yangu kwamba Proffesor Palamagamba, William Lukuvi, Goefrey Mwambe, Kitlya Mkumbo, na Mwita Waitara ndio tishio na wanajipanga kwa urais 2025.

Kwanza kuutamani urais si dhambi hata yeye ni mmoja Kati ya wanaoutamani urais kuendelea nao siku zijazo (kanogewa)

Tujiulize, hivi kuna vijana wanaoutamani urais kuliko January Makamba ,Mwigulu Nchemba na Ridhiwani kikwete?

Rais ameingizwa chaka, katoa wasaidizi muhimu, na kaingiza kundi lenye uchu wa madaraka litamsumbua sana huko mbeleni.

Kundi hilo wanahakikisha kila wanaemuona ni kikwazo kwao, humdanganya Rais Samia ya kuwa anahujumiwa ili njia iwe nyepesi kwao.
Hebu tuone haya mabadiliko yaliofanywa na Jakaya Kikwete kama ya na maslahi kwa taifa ,muda utaongea soon
ERA imepita hizi ni enzi za Rais Samia wengine kaeni kuleee nyuma muwe watazamaji tu. Kwani hata wao walikuwa watazamaji bora kipindi chenu hawakupiga kelele kama nyie. Tulia dawa iingie.
 
Samia hajawahi kufanya mabadiliko yenye maslahi kwa taifa bali kwa mafisadi na kwa jinsi alivyo mbaya atadumu sana huyu na hatuna ujanja
Hao aliowaondoa ni wachapa kazi kizalendo jambo ambalo halimpendezi Msoga na kwa jinsi Samia alivyo na nia mbaya basi atadumu sana mpaka nchi iharibike kabisa
Hatuna upinzani credible TZ itachukua miaka 50 au zaidi CCM kutoweka
Hamnaga mzuri kwenu daima. Hamkumpenda kikwete eti anachekacheka, mkasema mnataka rais dikteta akaja Magufuli akaanza kuwadektetua mara mkaanza kuomboleza kwa vilio ...mkata demokrasia kaja mama kawaachia uhuru na demokrasia, mmeanza kumtukana matusi na kutaka kumpanda kichwani Sasa ngoja awanyooshe ili mjitambue.

Tatizo wapinzani hamjawahi kueleweka nini mnachohitaji . Mlimuita lowasa fisadi hatari kwamba hafai kuwa rais mara mkamtakasa akawa mgombea wenu ,mkambeba na nyalandu mkataka awe mgombea haya Sasa wote wamewakimbia wamerudi ccm ...
Sasa nyie tuwaelewe vipi ? Hamjui mnachokisimamia Wala mnachokihitaji.. inaonyesha wazi lengo lenu sio kuikomboa nchi Kama mnavyojinadi majukwaani Lengo lenu na nyie mpate ulaji basiii ...kwa jinsi hii kweli mnataka tuwape nchii aasubutuuu .... acheni tupambane na ccm tu
 
SUKUMA GANG hawajawahi kuwa na akili
Kwanini mnalazimisha kutuaminisha kwamba SSH hana macho, masikio, akili au busara? Kwamba haoni na wala hajui anachokifanya? Kwahiyo anafanyiwa kila kitu? Amekuwa gogo au mfu? Kwahiyo ndani ya chama mtu anaweza kufikia hatua ya kuwa mwanachama, mbunge, waziri na akapanda hadi kufikia ngazi ya makamu wa Rais bila cha akili wala hekima? Acheni kutuchosha kwa hoja za ajabu ajabu!
 
Kama mambo yataenda hivi 2025 si njema sana maana hata walala hoi wanalalamika
wafanye yote ila wakumbuke siku walalahoi watakaposhindwa kuvumilia maisha magumu wategeuka kama arab spring
 
Back
Top Bottom