Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Watanzania wanapaswa kuendelea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu, kwani amekuwa akifanya kazi kubwa ya kutekeleza Dira ya Nchi ya maendeleo kwa watu wa matabaka yote nchini.
Aliwahi kusema "Tanzania inajengwa kama nyumba, kila awamu inaongeza tofali, ikiingia awamu nyingine ukiona tofali lililowekwa kidogo na kokoto hazikuwa madhubuti unaongeza kokoto nyumba yetu ipande juu na iwe nzuri zaidi."
Hakika sio hadithi ya kusimuliwa kama walivyokuwa wakisimulia bibi na babu bali macho yanaona, ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa (SGR), kipande cha kutoka Isaka- Mwanza umefikia 22.6, huku ujenzi wa reli hiyo kutoka Dar es Salaam kupitia Tabora- Mwanza- Tabora- KIgoma unaendelea kwa kasi. Watanzania wanapaswa kuamini kuwa huduma hii itagusa uchumi wa kila Mtanzania ndani na nje ya nchi.
Haya ni baadhi ya mafanikio ambayo wananchi wanapaswa kuendelea kumwamini na kumuunga mkono Rais Samia wa sababu anawapelekea vyema na matunda ya keki ya taifa wanafaidi wote.
Neema na fanaka tele zipo katika kila sekta, heko Rais Samia Suluhu kazi iendelee Watanzania wanajivunia makubwa unayozidi kuyafanya kwao.