Rais Samia anafanya kweli. Mashirika ya Umma kuwa ya Umma kiukweli

kwahiyo kwa miaka yote hii miwili ameboresha bei ya ufuta. we jamaa una dhihaka sana.
 
Ukweli una tabia moja, hata utumie Maguvu vipi huwezi kufanikiwa. Baada ya Tamko la TEC, sasa serikali iliyoko madarakani kwa wizi wa kura imejua kwa uhalisia ugumu wa kuuza rasilimali za umma.

Rasilimali ipi ilyouzwa na kwa shillingi ngapi?

Wakati wewe unadanganya kondoo waliopotezwa, mama Samia Suluhu anafanya mali za umma kuwa za umma kweli. Soma mada kwenye post # 1.

Yanakuuma?
 
Kumbe anatawala?

Nilizani anaongoza! [emoji848][emoji848]
Rudi shule, huwezi kuongoza bila kutawala.

Hususan ukiwa na wehu wengi. Unaijuwa dalili ya kwanza ya wehu?

Dalili ya wehu ya kwanza ni binadam kukubali kuwa yeye ni kondoo.
 
Rasilimali ipi ilyouzwa na kwa shillingi ngapi?

Wakati wewe unadanganya kondoo waliopotezwa, mama Samia Suluhu anafanya mali za umma kuwa za umma kweli. Soma mada kwenye post # 1.

Yanakuuma?
Mali ya umma huwezi kuyifanya ya umma kweli kwa kuwauzia hisa mabepari wa kitanzania wachache, na wengi wakabaki watazamaji!!
 
Mali ya umma huwezi kuyifanya ya umma kweli kwa kuwauzia hisa mabepari wa kitanzania wachache, na wengi wakabaki watazamaji!!

Mama Samia kwenye hili la kuianzisha hili kongamano la kipekee, inabidi apewe heko na hongera kubwa sana. Haijawahi kutokea.

Hapo mama kazikutanisha "think tanks" za Tanzania zilizostaafu, zilizopo, na zitazokuja. Haijwahi kutokea, kama hatujawaamini hao maamuzi yao tumuamini nani, wewe?

Kisa cha firauni na musa kinatufundisha mengi sana, kwa uchache kinatufundisha bila elimu, bila mali, bila utawla bora ni bure tu.

Mama hapo kaikusanya elimu, anawapatia mali, na anawapa utawala borfa. Hakuna utawala bora zaidi ya kuwaikiliza wasemacho watu wako.

Unawasikiliza, unawapa think tank zako, wqanakupa recommndations, unaziundia utawala (dministration" unazitekeleza.

Mama Samia hapa tumpe pongezi sana tena sana.
 
Rudi shule, huwezi kuongoza bila kutawala.

Hususan ukiwa na wehu wengi. Unaijuwa dalili ya kwanza ya wehu?

Dalili ya wehu ya kwanza ni binadam kukubali kuwa yeye ni kondoo.



Sio sahihi unachoandika hapa.

Wewe ndio urudi darasani ukajifunze tofauti ya kuongoza watu na kutawala watu.

Alitawala Mkoloni,

Baada ya Uhuru tunaongozana kwa ridhaa ya wananchi wenyewe kikatiba na sio hizo hadithi zako.
 
Jibu hoja yangu uliyoinukuu!! Mashirika ya umma yaliyozaliwa na kuendeshwa kwa kodi ya watanzania wote, halafu leo uwauzie hisa waqtanzania wachache wenye ukwasi mkubwa (mabepari wa kitanzania) ni wizi wa mchana kweupe!! Ni asilimia ngapi ya watanzania wataweza kununua hizo hisa za mashirika yanayofanya vizuri kwa sasa?
 
Wangeorodhesha hayo mashirika tuyajue. Mashirika ya kibiashara yalishabinafsishwa awamu ya mkapa. Yale yalibakia ni yale ya udhibiti uchumi au sekta za uchumi. Sasa ukiniorodheshea TRA, LATRA na yale ya udhibiti kwenye viwanja vya ndege na usafiri wa anga au shirika la hali ya hewa itakua mambo ya kustaajabisha. Kuna mashirika ni mambo ya utawala tu. Sasa uuze hisa eti TRA liwe la umma si unataka TRA iwe mikononi mwa watu binafsi😂. Anyway sijajua ni mashirika yepi ngoja tuone hawa wafuasi wa uliberali tuone kama wanawafungulia wezi wa umma na walanguzi mlango kwa kiasi gani.
 
Faiza pamoja na kwamba mimi nikija zenji utaniita chogo, hauachi kujadili mambo ya Tanganyika, ninyi hamuwezi kuishi bila Tanganyika.
Sema ukienda, ulisikia mimi Mzanzibari?

Unaota wewe. NNachokiona Zanzibar nnakishuhudia sasa hivi Ghaza. Kama hatujachukuwa hatua za kuhakikisha au Zanzibar inajitawala yenyewe kwa kila kitu kama nchi, tutegemee maumivu makubwa siku za usoni huko.

Mwenyezi Mungu awape hekima viongozi wetu watuepushe na majanga.
 
siku hiki kisiwa kikijitenga, nitafurahi sana, nitachinja jogoo mkubwa sana nimle.
 
siku hiki kisiwa kikijitenga, nitafurahi sana, nitachinja jogoo mkubwa sana nimle.
Sasa kwanini hujitengi wewe ungoje wao wajitenge?

Wao hawajitengi mpaka wahakikishe wanavuna huku vya kutosha. Nusu ya Kariakoo sasa hivi ni Wapemba, ukienda Temeke ni 90%, naongelea mabiashra.

Wewe kaa usubiri tu.
 
Hakuna rais muisiharamu mwenye akili ya hivyo hapa tz sahau .....sekta kama ya bandari reli ..mipaka ya nchi...nishati ...madini ...maji ...misitu uwezi kuachia sekta binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…