Rais Samia anahitaji 'physiological hearing' na art of 'public speaking'

Nandagala One

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
1,913
Reaction score
2,286
Habari wana jukwaa.

Rais nionavyo anakuwa very emotional, hasa kwa wale kwa wale wanaomkosoa, hana uvumilivu.

Amekuwa akitoa kauli zenye kutweza utu wa binadamu, hana uwezo wa kuzipuuza kama kiongozi mkuu.

(I) Ikumbukwe alishawahi kujiita CHURA, kuwaponda wanaomkosoa.

(ii) Kizimkazi kawaita wakosoaji wake " Mbwa wapumbavu"

(iii) Katiba aliyotumuia kuaapa aliita kijitabu.

Hizo ni baadhi tu ya kauli ya kubeza, na kukebehi mambo ya msingi ambayo yako TETE.

anahitaji kusaidiwa,kuwa na emotional management ,kuwa na art of pubblic speaking,kujua nini cha kuacha kusema, Nini Cha kusema, akiseme wakati gani na akiseme wapi.

Sasa kila mmoja anajua kuwa mama amevurugwa na mambo mengi.

1. Issue ya kuzima kongamano la vijana la CHADEMA,iliyopelekea kukamatwa kibabe viongozi wakuu wa chama, waandishi wa habari na vijana wasiopunguanmia 400, ambayo ime draw attention kwenye jumuiya ya kimataifa na vyombo vya habari vya kimataifa.

2. Habari ya watu Kutekwa,kupotezwa, kwa watu hasa wakosoaji na wanaharakati ambao ni wazi unaongozwa pasi na shaka na taasisi za usalama za nchi, pia serikali kukanusha na kutochukua hatua stahiki.

3. Habari za Jumuiya ya Wamasai Ngorongoro, ambao wamenyimwa haki zao za msingi, wanaondolewa kibabe ili hifadhi itoe nafasi kwa ndugu na nasaba zake kutoka uarabuni.

Wamasai wamedinda, wanaonesha misimamo wa kupinga kuondolewa, na vyombo mbalimbali vya ndani na nje bya nchi vinaonesha jambo hili wazi kabisa.

4. Mvurugano ndani ya Chama uliopelekea kuondoshwa kwenye uwaziri WEZI WAKUBWA WA KURA, na ambao ni wataalamu wa fitna,sio hivyo tu kuondoka kwa nguli KINANA.

Kinana mbaye amehudumu serikalini na chamani kwa muda mrefu, anayeijua serikali na chama vilivyo, Pangua Pangua ya viongozi ikiwemo TISS.

Mambo hayo machache yanamletea Rais kutokuwa na utulivu, kavurugwa, ukiangalia kwa jicho pekenyevu sana, utaona Mkuu wetu wa nchi hayuko sawa kisaikolojia.

Hana uhakika na kesho yake ndanib ya CCM. Mfano halisi ni kuwarudisha Lukuvi na KABUDI ambao aliaminishwa kuwa ni team MAGUFULI watamhujumu.

Kwa nia njema kabisa wasaidizi wake wamsaidie Rais, Vinginevyo atazidi kuharibu sana.

Ikumbukwe Rais Mstaafu Kikwete alivyonukuliwa kusema.

"Mgombea wa Urais 2025 ni SAMIA SULUHU HASSAN, SIJUI HAPA KATIKATI MAMBO YAHARIBIKE SAANA.."

katikati imeshafika Toka JK atoe ile kauli,na mambo yanazidi kuharibika.

Ndugu Watanzania tumwombee sana huyu Mama yetu apunguze jazba ili amalize salama miaka yake vya URAIS WA URITHI. akapunzike salam Kizimkazi, 2025 atuachie Tanganyika yetu.

Nandagala one safarini Mbamba Bay.
 
Habari wana jukwaa.

Rais nionavyo anakuwa very emotional, hasa kwa wale kwa wale wanaomkosoa, hana uvumilivu.

Amekuwa akitoa kauli zenye kutweza utu wa binadamu, hana uwezo wa kuzipuuza kama kiongozi mkuu.

(I) Ikumbukwe alishawahi kujiita CHURA, kuwaponda wanaomkosoa.

(ii) Kizimkazi kawaita wakosoaji wake " Mbwa wapumbavu"

(iii) Katiba aliyotumuia kuaapa aliita kijitabu.

Hizo ni baadhi tu ya kauli ya kubeza, na kukebehi mambo ya msingi ambayo yako TETE.

anahitaji kusaidiwa,kuwa na emotional management ,kuwa na art of pubblic speaking,kujua nini cha kuacha kusema, Nini Cha kusema, akiseme wakati gani na akiseme wapi.

Sasa kila mmoja anajua kuwa mama amevurugwa na mambo mengi.

1.Issue ya kuzima kongamano la vijana la CHADEMA,iliyopelekea kukamatwa kibabe viongozi wakuu wa chama, waandishi wa habari na vijana wasiopunguanmia 400, ambayo ime draw attention kwenye jumuiya ya kimataifa na vyombo vya habari vya kimataifa.

2.Habari ya watu Kutekwa,kupotezwa, kwa watu hasa wakosoaji na wanaharakati ambao ni wazi unaongozwa pasi na shaka na taasisi za usalama za nchi, pia serikali kukanusha na kutochukua hatua stahiki.

3.Habari za Jumuiya ya Wamasai Ngorongoro, ambao wamenyimwa haki zao za msingi, wanaondolewa kibabe ili hifadhi itoe nafasi kwa ndugu na nasaba zake kutoka uarabuni.

Wamasai wamedinda, wanaonesha misimamo wa kupinga kuondolewa, na vyombo mbalimbali vya ndani na nje bya nchi vinaonesha jambo hili wazi kabisa.

4.Mvurugano ndani ya Chama uliopelekea kuondoshwa kwenye uwaziri WEZI WAKUBWA WA KURA, na ambao ni wataalamu wa fitna,sio hivyo tu kuondoka kwa nguli KINANA.

Kinana mbaye amehudumu serikalini na chamani kwa muda mrefu, anayeijua serikali na chama vilivyo, Pangua Pangua ya viongozi ikiwemo TISS.

Mambo hayo machache yanamletea Rais kutokuwa na utulivu, kavurugwa, ukiangalia kwa jicho pekenyevu sana, utaona Mkuu wetu wa nchi hayuko sawa kisaikolojia.

Hana uhakika na kesho yake ndanib ya CCM.
mfano halisi ni kuwarudisha Lukuvi na KABUDI ambao aliaminishwa kuwa ni team MAGUFULI watamhujumu.

Hahitaji mambo ya kiingereza bhana
 
Hafanyi hayo Kwa bahati mbaya!

Wengi wanaona kama anakosea kibinadamu,kumbe ni calculated move hiyo!

Kifupi kelele hizi zinazoibuka sio za bahati mbaya!

Ni rasmi mzanzibari anatamani Zanzibar iliyohuru na sio hii iliyopo!

Ndio maana provoking style inatumika ili watanganyika wajae upepo wa kutaka kuuvunja muungano!!

UELEWA HURU HUU!
 
Habari nyingine miradi minginya serikali zikiwemo barabara zimesimaa, hazina haina pesa za kutosha🤣
Miradi mikubwa ya train siyo issue sababu production imepanda sababu ya stigler output, lakini waaapii,ni kama ujenzi wa mnara wa Babeli,kila kitu hola.

Laana flani hivi, kwenye tasisi madeni ya watu yamekabwa na hakuna balance kama zamani.We should wait and see,hii positiob katika nchi hii inaanza kuwa problem.
 
Habari wana jukwaa.

Rais nionavyo anakuwa very emotional, hasa kwa wale kwa wale wanaomkosoa, hana uvumilivu.

Amekuwa akitoa kauli zenye kutweza utu wa binadamu, hana uwezo wa kuzipuuza kama kiongozi mkuu.

(I) Ikumbukwe alishawahi kujiita CHURA, kuwaponda wanaomkosoa.

(ii) Kizimkazi kawaita wakosoaji wake " Mbwa wapumbavu"

(iii) Katiba aliyotumuia kuaapa aliita kijitabu.

Hizo ni baadhi tu ya kauli ya kubeza, na kukebehi mambo ya msingi ambayo yako TETE.

anahitaji kusaidiwa,kuwa na emotional management ,kuwa na art of pubblic speaking,kujua nini cha kuacha kusema, Nini Cha kusema, akiseme wakati gani na akiseme wapi.

Sasa kila mmoja anajua kuwa mama amevurugwa na mambo mengi.

1.Issue ya kuzima kongamano la vijana la CHADEMA,iliyopelekea kukamatwa kibabe viongozi wakuu wa chama, waandishi wa habari na vijana wasiopunguanmia 400, ambayo ime draw attention kwenye jumuiya ya kimataifa na vyombo vya habari vya kimataifa.

2.Habari ya watu Kutekwa,kupotezwa, kwa watu hasa wakosoaji na wanaharakati ambao ni wazi unaongozwa pasi na shaka na taasisi za usalama za nchi, pia serikali kukanusha na kutochukua hatua stahiki.

3.Habari za Jumuiya ya Wamasai Ngorongoro, ambao wamenyimwa haki zao za msingi, wanaondolewa kibabe ili hifadhi itoe nafasi kwa ndugu na nasaba zake kutoka uarabuni.

Wamasai wamedinda, wanaonesha misimamo wa kupinga kuondolewa, na vyombo mbalimbali vya ndani na nje bya nchi vinaonesha jambo hili wazi kabisa.

4.Mvurugano ndani ya Chama uliopelekea kuondoshwa kwenye uwaziri WEZI WAKUBWA WA KURA, na ambao ni wataalamu wa fitna,sio hivyo tu kuondoka kwa nguli KINANA.

Kinana mbaye amehudumu serikalini na chamani kwa muda mrefu, anayeijua serikali na chama vilivyo, Pangua Pangua ya viongozi ikiwemo TISS.

Mambo hayo machache yanamletea Rais kutokuwa na utulivu, kavurugwa, ukiangalia kwa jicho pekenyevu sana, utaona Mkuu wetu wa nchi hayuko sawa kisaikolojia.

Hana uhakika na kesho yake ndanib ya CCM.
mfano halisi ni kuwarudisha Lukuvi na KABUDI ambao aliaminishwa kuwa ni team MAGUFULI watamhujumu.

Kwa nia njema kabisa wasaidizi wake wamsaidie Rais, Vinginevyo atazidi kuharibu sana.

Ikumbukwe Rais Mstaafu Kikwete alivyonukuliwa kusema.

"Mgombea wa Urais 2025 ni SAMIA SULUHU HASSAN, SIJUI HAPA KATIKATI MAMBO YAHARIBIKE SAANA.."

katikati imeshafika Toka JK atoe ile kauli,na mambo yanazidi kuharibika.

Ndugu Watanzania tumwombee sana huyu Mama yetu apunguze jazba ili amalize salama miaka yake vya URAIS WA URITHI. akapunzike salam Kizimkazi, 2025 atuachie Tanganyika yetu.

Nandagala one safarini Mbamba Bay.
 
Attachments

  • IMG-20240822-WA0074.jpg
    IMG-20240822-WA0074.jpg
    43 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240822-184133.png
    Screenshot_20240822-184133.png
    120.8 KB · Views: 5
  • IMG-20240822-WA0073.jpg
    IMG-20240822-WA0073.jpg
    102.3 KB · Views: 5

Ninyi watu hamridhiki...kumponda mumponde.....akiponda yeye hana emotional intelligency....!
 
Back
Top Bottom