Rais Samia anahitaji 'physiological hearing' na art of 'public speaking'

psychological hearing ndo nini...? mi nikajua healing!
Kenzy shukrani sana , ni typing error sikfanya cross checking wakati wa tittle, mods natumain bwataweka sasa healing badala ya hearing, shukrani 🙏🙏
 
Habari wana jukwaa.

Rais nionavyo anakuwa very emotional, hasa kwa wale kwa wale wanaomkosoa, hana uvumilivu.

Amekuwa akitoa kauli zenye kutweza utu wa binadamu, hana uwezo wa kuzipuuza kama kiongozi mkuu.

(I) Ikumbukwe alishawahi kujiita CHURA, kuwaponda wanaomkosoa.

(ii) Kizimkazi kawaita wakosoaji wake " Mbwa wapumbavu"

(iii) Katiba aliyotumuia kuaapa aliita kijitabu.

Hizo ni baadhi tu ya kauli ya kubeza, na kukebehi mambo ya msingi ambayo yako TETE.

anahitaji kusaidiwa,kuwa na emotional management ,kuwa na art of pubblic speaking,kujua nini cha kuacha kusema, Nini Cha kusema, akiseme wakati gani na akiseme wapi.

Sasa kila mmoja anajua kuwa mama amevurugwa na mambo mengi.

1. Issue ya kuzima kongamano la vijana la CHADEMA,iliyopelekea kukamatwa kibabe viongozi wakuu wa chama, waandishi wa habari na vijana wasiopunguanmia 400, ambayo ime draw attention kwenye jumuiya ya kimataifa na vyombo vya habari vya kimataifa.

2. Habari ya watu Kutekwa,kupotezwa, kwa watu hasa wakosoaji na wanaharakati ambao ni wazi unaongozwa pasi na shaka na taasisi za usalama za nchi, pia serikali kukanusha na kutochukua hatua stahiki.

3. Habari za Jumuiya ya Wamasai Ngorongoro, ambao wamenyimwa haki zao za msingi, wanaondolewa kibabe ili hifadhi itoe nafasi kwa ndugu na nasaba zake kutoka uarabuni.

Wamasai wamedinda, wanaonesha misimamo wa kupinga kuondolewa, na vyombo mbalimbali vya ndani na nje bya nchi vinaonesha jambo hili wazi kabisa.

4. Mvurugano ndani ya Chama uliopelekea kuondoshwa kwenye uwaziri WEZI WAKUBWA WA KURA, na ambao ni wataalamu wa fitna,sio hivyo tu kuondoka kwa nguli KINANA.

Kinana mbaye amehudumu serikalini na chamani kwa muda mrefu, anayeijua serikali na chama vilivyo, Pangua Pangua ya viongozi ikiwemo TISS.

Mambo hayo machache yanamletea Rais kutokuwa na utulivu, kavurugwa, ukiangalia kwa jicho pekenyevu sana, utaona Mkuu wetu wa nchi hayuko sawa kisaikolojia.

Hana uhakika na kesho yake ndanib ya CCM. Mfano halisi ni kuwarudisha Lukuvi na KABUDI ambao aliaminishwa kuwa ni team MAGUFULI watamhujumu.

Kwa nia njema kabisa wasaidizi wake wamsaidie Rais, Vinginevyo atazidi kuharibu sana.

Ikumbukwe Rais Mstaafu Kikwete alivyonukuliwa kusema.

"Mgombea wa Urais 2025 ni SAMIA SULUHU HASSAN, SIJUI HAPA KATIKATI MAMBO YAHARIBIKE SAANA.."

katikati imeshafika Toka JK atoe ile kauli,na mambo yanazidi kuharibika.

Ndugu Watanzania tumwombee sana huyu Mama yetu apunguze jazba ili amalize salama miaka yake vya URAIS WA URITHI. akapunzike salam Kizimkazi, 2025 atuachie Tanganyika yetu.

Nandagala one safarini Mbamba Bay.
Ukifika kale mbufu.

Uzi mzuri.
 
Hafanyi hayo Kwa bahati mbaya!

Wengi wanaona kama anakosea kibinadamu,kumbe ni calculated move hiyo!

Kifupi kelele hizi zinazoibuka sio za bahati mbaya!

Ni rasmi mzanzibari anatamani Zanzibar iliyohuru na sio hii iliyopo!

Ndio maana provoking style inatumika ili watanganyika wajae upepo wa kutaka kuuvunja muungano!!

UELEWA HURU HUU!
wewe ndivyo ulivyoelewa. Mimi nimeelewa bado anayataka madaraka ya Tanganyika km ilivyo sasa. Hutamsikia Mzanzibar akiongelea hili labda bibi akose kiti.
 
Habari wana jukwaa.

Rais nionavyo anakuwa very emotional, hasa kwa wale kwa wale wanaomkosoa, hana uvumilivu.

Amekuwa akitoa kauli zenye kutweza utu wa binadamu, hana uwezo wa kuzipuuza kama kiongozi mkuu.

(I) Ikumbukwe alishawahi kujiita CHURA, kuwaponda wanaomkosoa.

(ii) Kizimkazi kawaita wakosoaji wake " Mbwa wapumbavu"

(iii) Katiba aliyotumuia kuaapa aliita kijitabu.

Hizo ni baadhi tu ya kauli ya kubeza, na kukebehi mambo ya msingi ambayo yako TETE.

anahitaji kusaidiwa,kuwa na emotional management ,kuwa na art of pubblic speaking,kujua nini cha kuacha kusema, Nini Cha kusema, akiseme wakati gani na akiseme wapi.

Sasa kila mmoja anajua kuwa mama amevurugwa na mambo mengi.

1. Issue ya kuzima kongamano la vijana la CHADEMA,iliyopelekea kukamatwa kibabe viongozi wakuu wa chama, waandishi wa habari na vijana wasiopunguanmia 400, ambayo ime draw attention kwenye jumuiya ya kimataifa na vyombo vya habari vya kimataifa.

2. Habari ya watu Kutekwa,kupotezwa, kwa watu hasa wakosoaji na wanaharakati ambao ni wazi unaongozwa pasi na shaka na taasisi za usalama za nchi, pia serikali kukanusha na kutochukua hatua stahiki.

3. Habari za Jumuiya ya Wamasai Ngorongoro, ambao wamenyimwa haki zao za msingi, wanaondolewa kibabe ili hifadhi itoe nafasi kwa ndugu na nasaba zake kutoka uarabuni.

Wamasai wamedinda, wanaonesha misimamo wa kupinga kuondolewa, na vyombo mbalimbali vya ndani na nje bya nchi vinaonesha jambo hili wazi kabisa.

4. Mvurugano ndani ya Chama uliopelekea kuondoshwa kwenye uwaziri WEZI WAKUBWA WA KURA, na ambao ni wataalamu wa fitna,sio hivyo tu kuondoka kwa nguli KINANA.

Kinana mbaye amehudumu serikalini na chamani kwa muda mrefu, anayeijua serikali na chama vilivyo, Pangua Pangua ya viongozi ikiwemo TISS.

Mambo hayo machache yanamletea Rais kutokuwa na utulivu, kavurugwa, ukiangalia kwa jicho pekenyevu sana, utaona Mkuu wetu wa nchi hayuko sawa kisaikolojia.

Hana uhakika na kesho yake ndanib ya CCM. Mfano halisi ni kuwarudisha Lukuvi na KABUDI ambao aliaminishwa kuwa ni team MAGUFULI watamhujumu.

Kwa nia njema kabisa wasaidizi wake wamsaidie Rais, Vinginevyo atazidi kuharibu sana.

Ikumbukwe Rais Mstaafu Kikwete alivyonukuliwa kusema.

"Mgombea wa Urais 2025 ni SAMIA SULUHU HASSAN, SIJUI HAPA KATIKATI MAMBO YAHARIBIKE SAANA.."

katikati imeshafika Toka JK atoe ile kauli,na mambo yanazidi kuharibika.

Ndugu Watanzania tumwombee sana huyu Mama yetu apunguze jazba ili amalize salama miaka yake vya URAIS WA URITHI. akapunzike salam Kizimkazi, 2025 atuachie Tanganyika yetu.

Nandagala one safarini Mbamba Bay.
Naungana na andiko lako mkuu, ila kwa mambo ya kuombeana hapana aisee, binfsi nitaliombea taifa sio mtu period
 
Mwendazake aliwatukana zaidi ya hayo.

Mkapa aliwatukana zaidi ya hapo

Labda JK tuu ndio sijawahi sikia tusi.lake labda vichambo vya hapa na pale.

In short mbwa wapumbavu wapo
 
2025 simuoni kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom