Rais Samia anahitaji 'physiological hearing' na art of 'public speaking'

Utakuwa kwenye ndoto. Raise Samia ndie kugombea wa chama tawala labda abadilishe gia angani yeye mwenyewe. Mpaka sasa kwenye chama hatujamwona badala yake.
Hata kuandika vijimistari vichache tu hamjui halafu mnataka mtuongoze hivi hiyo mikataba mtaweza kuindika kweli?
 
Utakuwa kwenye ndoto. Raise Samia ndie kugombea wa chama tawala labda abadilishe gia angani yeye mwenyewe. Mpaka sasa kwenye chama hatujamwona badala yake.
Et Raise 😂😂😂😂 rudi shule
 
Habari wana jukwaa.

Rais nionavyo anakuwa very emotional, hasa kwa wale kwa wale wanaomkosoa, hana uvumilivu.

Amekuwa akitoa kauli zenye kutweza utu wa binadamu, hana uwezo wa kuzipuuza kama kiongozi mkuu.

(I) Ikumbukwe alishawahi kujiita CHURA, kuwaponda wanaomkosoa.

(ii) Kizimkazi kawaita wakosoaji wake " Mbwa wapumbavu"

(iii) Katiba aliyotumuia kuaapa aliita kijitabu.

Hizo ni baadhi tu ya kauli ya kubeza, na kukebehi mambo ya msingi ambayo yako TETE.

anahitaji kusaidiwa,kuwa na emotional management ,kuwa na art of pubblic speaking,kujua nini cha kuacha kusema, Nini Cha kusema, akiseme wakati gani na akiseme wapi.

Sasa kila mmoja anajua kuwa mama amevurugwa na mambo mengi.

1. Issue ya kuzima kongamano la vijana la CHADEMA,iliyopelekea kukamatwa kibabe viongozi wakuu wa chama, waandishi wa habari na vijana wasiopunguanmia 400, ambayo ime draw attention kwenye jumuiya ya kimataifa na vyombo vya habari vya kimataifa.

2. Habari ya watu Kutekwa,kupotezwa, kwa watu hasa wakosoaji na wanaharakati ambao ni wazi unaongozwa pasi na shaka na taasisi za usalama za nchi, pia serikali kukanusha na kutochukua hatua stahiki.

3. Habari za Jumuiya ya Wamasai Ngorongoro, ambao wamenyimwa haki zao za msingi, wanaondolewa kibabe ili hifadhi itoe nafasi kwa ndugu na nasaba zake kutoka uarabuni.

Wamasai wamedinda, wanaonesha misimamo wa kupinga kuondolewa, na vyombo mbalimbali vya ndani na nje bya nchi vinaonesha jambo hili wazi kabisa.

4. Mvurugano ndani ya Chama uliopelekea kuondoshwa kwenye uwaziri WEZI WAKUBWA WA KURA, na ambao ni wataalamu wa fitna,sio hivyo tu kuondoka kwa nguli KINANA.

Kinana mbaye amehudumu serikalini na chamani kwa muda mrefu, anayeijua serikali na chama vilivyo, Pangua Pangua ya viongozi ikiwemo TISS.

Mambo hayo machache yanamletea Rais kutokuwa na utulivu, kavurugwa, ukiangalia kwa jicho pekenyevu sana, utaona Mkuu wetu wa nchi hayuko sawa kisaikolojia.

Hana uhakika na kesho yake ndanib ya CCM. Mfano halisi ni kuwarudisha Lukuvi na KABUDI ambao aliaminishwa kuwa ni team MAGUFULI watamhujumu.

Kwa nia njema kabisa wasaidizi wake wamsaidie Rais, Vinginevyo atazidi kuharibu sana.

Ikumbukwe Rais Mstaafu Kikwete alivyonukuliwa kusema.

"Mgombea wa Urais 2025 ni SAMIA SULUHU HASSAN, SIJUI HAPA KATIKATI MAMBO YAHARIBIKE SAANA.."

katikati imeshafika Toka JK atoe ile kauli,na mambo yanazidi kuharibika.

Ndugu Watanzania tumwombee sana huyu Mama yetu apunguze jazba ili amalize salama miaka yake vya URAIS WA URITHI. akapunzike salam Kizimkazi, 2025 atuachie Tanganyika yetu.

Nandagala one safarini Mbamba Bay.
Unabweka ukiwa wapi dada
 
Serikali ipo imara. Rais Samia Suluhu Hassan yupo imara na nchi ipo imara. Kelele za chura siku zote zipo hasa wakati wa masika.
 
Huyo ni mbwa mzee, hafundishiki
 
Ashauriwe maana ataaibisha kiti chake kwa maneno ya kejeli na vijembe kama vya watoto wa mtaani. Pia ashauriwe apumzike ifikapo 2025 na akabithi Nchi kwa wengine waiendeleze.
 
"art of 'public speaking", hii kwa ulaya ndiyo namba moja na unakuwa na mtaalam wa kukufunda, huku sisi hatuhitaji kwani wananchi hawana thamani mbele ya viongozi, na wananchi wenyewe chochote utakachotapika watakushangilia.​

Aksante sana kwa input mkuu!
 
Utakuwa kwenye ndoto. Raise Samia ndie kugombea wa chama tawala labda abadilishe gia angani yeye mwenyewe. Mpaka sasa kwenye chama hatujamwona badala yake.
Hamna ndoto kasha prove failure ataenda Kugombea bjwao Zanzibar
 
Habari wana jukwaa.

Rais nionavyo anakuwa very emotional, hasa kwa wale kwa wale wanaomkosoa, hana uvumilivu.

Amekuwa akitoa kauli zenye kutweza utu wa binadamu, hana uwezo wa kuzipuuza kama kiongozi mkuu.

(I) Ikumbukwe alishawahi kujiita CHURA, kuwaponda wanaomkosoa.

(ii) Kizimkazi kawaita wakosoaji wake " Mbwa wapumbavu"

(iii) Katiba aliyotumuia kuaapa aliita kijitabu.

Hizo ni baadhi tu ya kauli ya kubeza, na kukebehi mambo ya msingi ambayo yako TETE.

anahitaji kusaidiwa,kuwa na emotional management ,kuwa na art of pubblic speaking,kujua nini cha kuacha kusema, Nini Cha kusema, akiseme wakati gani na akiseme wapi.

Sasa kila mmoja anajua kuwa mama amevurugwa na mambo mengi.

1. Issue ya kuzima kongamano la vijana la CHADEMA,iliyopelekea kukamatwa kibabe viongozi wakuu wa chama, waandishi wa habari na vijana wasiopunguanmia 400, ambayo ime draw attention kwenye jumuiya ya kimataifa na vyombo vya habari vya kimataifa.

2. Habari ya watu Kutekwa,kupotezwa, kwa watu hasa wakosoaji na wanaharakati ambao ni wazi unaongozwa pasi na shaka na taasisi za usalama za nchi, pia serikali kukanusha na kutochukua hatua stahiki.

3. Habari za Jumuiya ya Wamasai Ngorongoro, ambao wamenyimwa haki zao za msingi, wanaondolewa kibabe ili hifadhi itoe nafasi kwa ndugu na nasaba zake kutoka uarabuni.

Wamasai wamedinda, wanaonesha misimamo wa kupinga kuondolewa, na vyombo mbalimbali vya ndani na nje bya nchi vinaonesha jambo hili wazi kabisa.

4. Mvurugano ndani ya Chama uliopelekea kuondoshwa kwenye uwaziri WEZI WAKUBWA WA KURA, na ambao ni wataalamu wa fitna,sio hivyo tu kuondoka kwa nguli KINANA.

Kinana mbaye amehudumu serikalini na chamani kwa muda mrefu, anayeijua serikali na chama vilivyo, Pangua Pangua ya viongozi ikiwemo TISS.

Mambo hayo machache yanamletea Rais kutokuwa na utulivu, kavurugwa, ukiangalia kwa jicho pekenyevu sana, utaona Mkuu wetu wa nchi hayuko sawa kisaikolojia.

Hana uhakika na kesho yake ndanib ya CCM. Mfano halisi ni kuwarudisha Lukuvi na KABUDI ambao aliaminishwa kuwa ni team MAGUFULI watamhujumu.

Kwa nia njema kabisa wasaidizi wake wamsaidie Rais, Vinginevyo atazidi kuharibu sana.

Ikumbukwe Rais Mstaafu Kikwete alivyonukuliwa kusema.

"Mgombea wa Urais 2025 ni SAMIA SULUHU HASSAN, SIJUI HAPA KATIKATI MAMBO YAHARIBIKE SAANA.."

katikati imeshafika Toka JK atoe ile kauli,na mambo yanazidi kuharibika.

Ndugu Watanzania tumwombee sana huyu Mama yetu apunguze jazba ili amalize salama miaka yake vya URAIS WA URITHI. akapunzike salam Kizimkazi, 2025 atuachie Tanganyika yetu.

Nandagala one safarini Mbamba Bay.
Enzi zetu mimama kama hii tulikuwa tunaiita pashkuna
 
Huyu Mama inaelekea sasa kama pumzi za kuongoza zinaanza kukata!😎
Angekuwa si mbinafsi, mwakani angeacha kugombea tu. Atatupa kazi ngumu sana ya kumnadi na kuiba kura
 
Watanzania hata tuletewe malaika bado tutalaumu tu
 
Unakusudia physiological au psychological? Hivyo ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom