Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Mbona hutakagi kumtaja Rais Samia?! Unashida gani naye? Amegoma kuunga juhudi ya legacy? Ati CCM daima wakati wenzake wanamwongelea SSH. Kwendraa!Ccm daima, Chadema tupa kule
Kwani kiwanda Tafsiri yake nini?Hii nchi inavituko sana aisee, yaani vyerehani vitatu navyo vinageuka kua kiwanda , hadi watengeneza juice za miwa nao ni viwanda .
Tutakuwa tunawajibu kwa Takwimu zenye vitendo sio blaa blaa..pamoja Sana mkuu.Mkuu umeleta mada tamu sana,
Mungu akubariki sana kwa hili,
Tuendelee kuipigania nchi yetu
Tuendelelee kumpigania Rais wetu
Kaziiendelee
Mnampigania Rais kwa lipi? na mnayepigana naye ni yupi?Mkuu umeleta mada tamu sana,
Mungu akubariki sana kwa hili,
Tuendelee kuipigania nchi yetu
Tuendelelee kumpigania Rais wetu
Kaziiendelee
Tunapigana na nyie wapuuzi wenye chuki na wapotoshaji.Tunampigania kwa mambo makubwa aliyofanya kama haya👇Mnampigania Rais kwa lipi? na mnayepigana naye ni yupi?
😂😂😂 As per previous govtHii nchi inavituko sana aisee, yaani vyerehani vitatu navyo vinageuka kua kiwanda , hadi watengeneza juice za miwa nao ni viwanda .
Umeme bado ni mashaka makubwa tu TanzaniaUmeme upo ila matatizo madogo yasifanye uaminishe watu kwamba hakuna umeme
nani wanamilki hivyo viwanda vyako kama si nagabacholi. anavijenga kwa matusi nonsenseHeko wadau..
Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele ..
Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali hususani viwanda .
Tulikuwa na Rais ambaye alikuwa anajigamba Sana Kuwa Rais wa viwanda lakini ndani ya miaka yote 6 hakuna viwanda vya maana ambavyo vilijengwa zaidi ya vyerehani .
Kwa Wakulima wanalia Lia Sana kwa bei za mbolea kuwa juu ila wasijari mwaka ujao bei zitashuka kwa vile viwanda viwili vikubwa vya mbolea vinajengwa Dodoma na Mtwara.
Sasa Tanzania ya viwanda inajengwa na Samia.Hongera Rais wangu kwa Kazi nzuri 👇
View attachment 2026387
View attachment 2026388
View attachment 2026389
View attachment 2026390
View attachment 2026391
View attachment 2026392
Chuki zako kwa Samia zitakatiza uhai wako mapema Sana .Ulitaka nani amiliki?nani wanamilki hivyo viwanda vyako kama si nagabacholi. anavijenga kwa matusi nonsense
Huo ujinga ulikuwa unafanywa na awamu ya 5Hii nchi inavituko sana aisee, yaani vyerehani vitatu navyo vinageuka kua kiwanda , hadi watengeneza juice za miwa nao ni viwanda .
Tunapigana na nyie wapuuzi wenye chuki na wapotoshaji.Tunampigania kwa mambo makubwa aliyofanya kama haya👇
View attachment 2026465
View attachment 2026466
View attachment 2026467
View attachment 2026468
View attachment 2026470