The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mama anaendelea kuupiga mwingi kwenye viwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka ujinga wako na chuki zako za kindezi huko.Kama mnampenda mama sana na mnamtakia mema; aachane na mapenzi na wakina January na Makonda kwani bila kuwa na umeme wa uhakika na usalama wa mali zao,hivyo viwanda vitafungwa kabla havijaanza kuzalisha !! Kwa wawekezaji wanajali faida na sio sura ya Rais wa nchi!!! Msijidanganye!
Wewe jua tuu Tanzania ya Samia ni viwanda kwa vitendo.Anatumia pesa yake?
Tatizo lenu nyie mboga mboga hamtaki kusikiliza ukweli mnataka kuimba mapambio tu yatayompeleka SSH asikotegemea!! Sawa sisi mtasema tuna chuki za kindezi lakini kama Samia ataendelea kuteua Wanawake wenzie na Vijana kwa kuaminishwa kuwa hao ndio watakaomuwezesha kuitoa Tanzania, ajue ameingizwa choo cha KIUME!! Yafuatayo ndiyo anayotakiwa kufanya katika kuteua wasaidizi wake bila ya kupendelea jinsia wala umri; Kwanza kabisa anaowateua wawe ni watu INTELLIGENT, Pili wanatakiwa wawe wenye maadili mema na mwisho wawe ni watu wenye UTHUBUTU wa kuweza kufanya maamuzi.Peleka ujinga wako na chuki zako za kindezi huko.
Wewe ndio uachane nao.
Hakuna ukweli bali ni chuki na umbeaTatizo lenu nyie mboga mboga hamtaki kusikiliza ukweli mnataka kuimba mapambio tu yatayompeleka SSH asikotegemea!! Sawa sisi mtasema tuna chuki za kindezi lakini kama Samia ataendelea kuteua Wanawake wenzie na Vijana kwa kuaminishwa kuwa hao ndio watakaomuwezesha kuitoa Tanzania, ajue ameingizwa choo cha KIUME!! Yafuatayo ndiyo anayotakiwa kufanya katika kuteua wasaidizi wake bila ya kupendelea jinsia wala umri; Kwanza kabisa anaowateua wawe ni watu INTELLIGENT, Pili wanatakiwa wawe wenye maadili mema na mwisho wawe ni watu wenye UTHUBUTU wa kuweza kufanya maamuzi.
Rais akiwapata wasaidizi wenye hivyo vigezo anatakiwa awawezeshe kwa kuwapa vitendea kazi vitakavyowawezesha kufikia malengo nchi iliyojiwekea!! Bila kufanya hivyo mtakuwa mnatwanga maji kwenye kinu ;na kila siku kuwaumiza wananchi kwa kuongeza TOZO zisizowaletea maendeleo.
Hamtaki kusikia msichokipenda hivyo mtasema ni chuki; hiyo sio chuki ni mapenzi ya nchi yetu nyie vipofu!
Hakuna vyerehani hapa bali ni viwanda vya uhakika 👇Anatumia pesa yake?
Tatizo ni chuki ndio inayokusumbua kana kwamba miaka yote hiyo viwanda havijajengwa,Heko wadau..
Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele ..
Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali hususani viwanda .
Tulikuwa na Rais ambaye alikuwa anajigamba Sana Kuwa Rais wa viwanda lakini ndani ya miaka yote 6 hakuna viwanda vya maana ambavyo vilijengwa zaidi ya vyerehani .
Kwa Wakulima wanalia Lia Sana kwa bei za mbolea kuwa juu ila wasijari mwaka ujao bei zitashuka kwa vile viwanda viwili vikubwa vya mbolea vinajengwa Dodoma na Mtwara.
Sasa Tanzania ya viwanda inajengwa na Samia.Hongera Rais wangu kwa Kazi nzuri [emoji116]
View attachment 2026387
View attachment 2026388
View attachment 2026389
View attachment 2026390
View attachment 2026391
View attachment 2026392
Tatizo ni chuki ndio inayokusumbua kana kwamba miaka yote hiyo viwanda havijajengwa,