Rais Samia anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Peleka ujinga wako na chuki zako za kindezi huko.

Wewe ndio uachane nao.
 
Peleka ujinga wako na chuki zako za kindezi huko.

Wewe ndio uachane nao.
Tatizo lenu nyie mboga mboga hamtaki kusikiliza ukweli mnataka kuimba mapambio tu yatayompeleka SSH asikotegemea!! Sawa sisi mtasema tuna chuki za kindezi lakini kama Samia ataendelea kuteua Wanawake wenzie na Vijana kwa kuaminishwa kuwa hao ndio watakaomuwezesha kuitoa Tanzania, ajue ameingizwa choo cha KIUME!! Yafuatayo ndiyo anayotakiwa kufanya katika kuteua wasaidizi wake bila ya kupendelea jinsia wala umri; Kwanza kabisa anaowateua wawe ni watu INTELLIGENT, Pili wanatakiwa wawe wenye maadili mema na mwisho wawe ni watu wenye UTHUBUTU wa kuweza kufanya maamuzi.

Rais akiwapata wasaidizi wenye hivyo vigezo anatakiwa awawezeshe kwa kuwapa vitendea kazi vitakavyowawezesha kufikia malengo nchi iliyojiwekea!! Bila kufanya hivyo mtakuwa mnatwanga maji kwenye kinu ;na kila siku kuwaumiza wananchi kwa kuongeza TOZO zisizowaletea maendeleo.

Hamtaki kusikia msichokipenda hivyo mtasema ni chuki; hiyo sio chuki ni mapenzi ya nchi yetu nyie vipofu!
 
Hakuna ukweli bali ni chuki na umbea

Hakuna ukweli mwingine tofauti na huu hapa πŸ‘‡



 
Tatizo ni chuki ndio inayokusumbua kana kwamba miaka yote hiyo viwanda havijajengwa,
 
Tatizo ni chuki ndio inayokusumbua kana kwamba miaka yote hiyo viwanda havijajengwa,

Were mwanamke , you are missing the point. Hawa wameonesha nia ya kuja kuwekeza lakini kama mtaendelea na sera za kijinga ambazo hazitawahakikishia umeme wa uhakika kuendesha viwanda vyao na Pia kama sera zenu hazitawahakikishia kupata faida na usalama wa wao wenyewe na mali zao; they will not hesitate kufungasha na kwenda ambako watapata faida ya kuridhisha!! Hawavutiwi na sura za viongozi bali stability ya Nchi na profit friendly policies!! Nyie mboga mboga kumbukeni hizo fedha wanazowekea sio zao ni za watu waliowekeza kwenye hizo Kampuni na wanategeme return on their investments!

Ni hatari kwa Nchi kama maendeleo yake yatategemea mtu badala ya taasisi imara ambazo zina uhalaii wa katiba ya Nchi!! Maendeleo ya Nchi yasitegemee utashi wa mtu na ndiyo maana mlikuwa mnamuimbia sifa Magufuli na sasa ametwaliwa mnaendeklea ujinga ule ule wa kutegemea utashi wa mtu badala ya strong institutions!!
 
Awamu ya 6 inaonyesha matokea siko kupepesa macho na porojo..

Safi Sana πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220829-120723.png
    65.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20220829-121350.png
    117.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220826-200415.png
    119 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…