Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kila Ijumaa makanisani watu walikesha kumuombea maisha marefu lakini Mungu aliyakataa maombi yao.Magufuli alikuwa akipita sehemu viongozi wa umma almanusura wajikojolee.
Wengine walidiriki kukuita Mh. Mungu.
Wengine walisema Magufuli ni zaidi ya Yesu au Muhammad.
TV zote na redio zilikuwa busy kumnadi Magufuli.
Wengine walihisi hatakufa.
Ila alizimwa shwaaa
Yaani ghafla tu shwaaa
Mtaweza nyie?
Kila Ijumaa makanisani watu walikesha kumuombea maisha marefu lakini Mungu aliyakataa maombi yao.
Nyie hamtaweza.
Nyie hamtaweza📌🔨.